settings icon
share icon

Maswali kuhusu dhambi

Dhambi saba mbaya sana ni zipi?

Biblia inasema nini juu ya kunywa kileo? Je, ni dhambi kwa mkristo kunywa kileo?

Biblia inasema nini juu ya kamari? Je, kamari ni dhambi?

Bibilia inasema nini kuhusu ponografia? Je! Kuangalia picha ya ponografia ni dhambi?

Dhambi zote ni sawa?

Fasili ya dhambi ndio gani?

Nitajuaje kama kitu fulani ni dhambi?

Je, sisi wote tulirithi dhambi ya Adamu na Hawa?

Dhambi ya asili ni gani?

Je, watoto kuadhibiwa kwa ajili ya dhambi za wazazi wao?

Dhambi iliyo ya mauti ni gani?

Je, uroho ni dhambi? Biblia inasema nini juu ya ulaji kupita kiazi?

Dhambi isiyofutika ni gani / dhambi haiwezi kusamehewa ni gani?

Mtazamo wa Wakristo ni upi kuhusu uvutaji? Uvutaji ni dhambi?

Biblia inasema je ju ya chale/ kujitoboa mwili?

Je, biblia inasema nini juu ya ushoga? Je, ushoga ni dhambi?

Kujichua – je, ni dhambi kulengana na Biblia?

Mkristo anapaswa kuwa na mtizamo gani kwa uraibu?

Je, ni sawa kupata pambo ikiwa ni asili ya Kikristo?

Ni tofauti gani kati ya uasherati na uzinzi?

Inawezekana kuwa Mkristo shoga?

Ni aina gani za kisasa za ibada ya sanamu?

Ninawezaje kuondokana na uraibu wa picha za ngono? Je, uraibu kwa ponografia unaweza kuushindwa?

Je! Dhambi yangu binafsi, ya fargha inaathiri wengine aje?

Je, Biblia inasema nini kuhusu uzinzi? Je, Mungu atasamehe mzinzi?

Ina maana gani kuwa na dhamiri mbovu?

Je, Mkristo anaweza kutenda dhambi kiasi gani?

Ikiwa Yesu alilipa bei ya dhambi zetu, kwa nini bado tunakabiliwa na matokeo ya dhambi zetu?

Tamaa nini? Biblia inasema nini kuhusu tamaa?

Je! Biblia inasema nini juu ya ngono? Je, kuwa na hysia za ngono ni dhambi?

Ni nini maana ya kumtukana? Ina maana gani kutukana?

Je, uraibu wa buni ni dhambi?

Ni nini maana ya kusadikisha dhambi?

Je! Ngono mtandao / simu ni dhambi?

Kwa nini Mungu huchukia dhambi?

Ni dhambi gani kubwa zaidi?

Hamatiolojia ni nini?

Kwa nini ibada ya sanamu ni jaribu kubwa sana?

Je, mawazo yanayoingia na yasiyopendeza ni dhambi? Je, mawzao ya vurugu ya uasi, ya ngono, au ya kufuru ni dhambi?

Je! Kuna orodha ya kibiblia ya dhambi?

Ina maana gani kuchukulia jina la Bwana bure?

Je, ni sawa kusema uongo?

Je! Ni dhambi ya kushiriki, kupakua, au kufuatisha vifaa vyenye haki (muziki, sinema, programu) kwenye mtandao?

Je, ni dhambi kutumia lugha chafu / kuapa / laani?

Biblia inasema nini kuhusu kutumia madawa ya kulevya?

Asili ya dhambi ni nini?

Ni dhambi gani ya uasi?

Ina maana gani kuwa mtumwa wa dhambi?

Dhambi ya Sodoma na Gomora ilikua gani?

Je! Biblia inasema nini kuhusu jinsia tatanishi?

Je, kuna hatari gani / matokeo yapi ya dhambi isiyokiriwa?

Ina maana gani kwamba mshahara wa dhambi ni mauti?

Kuhusu msamaha, je kuna tofauti kati ya dhambi ya kukusudia na dhambi ya kutojua?Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Maswali kuhusu dhambi
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries