Maswali kuhusu kanisa


Kanisa ni nini?

Ni lengo gani la kanisa?

Ubatizo wa kikristo una umuhimu gani?

Je! Mwili wa bana una umuimu gani?

Ni kwa nini kushiriki/kuenda kanisa ni muhimu?

Ni siku gani ya sabato, Jumamosi au Jumapili? Wakristo wastahili kuitunza hii siku?

Ni kwa nini ni na imani na dini iliyo na mpangilio?

Je, wanawake wahudumu kama wachungaji/wahubiri?

Utengano kibiblia ni nini?

Biblia inasemaje nini kuhusu nidhamu ya kanisa / kutengwa?

Biblia inasemaje nini kuhusu aina ya utawala wa kanisa?

Biblia inasema nini kuhusu ukuaji wa kanisa?

Ni kwa nini kuna madhehebu mengi ya kikristo?

Ni kwa nini kuna tafsiri nyingi tofauti za Wakristo?

Ni kwa nini viongozi wengi wa kiinjili wa kikristo wapatikana katika kashfa?

Historia ya Ukristo ni gani?

Je, "mume wa mke mmoja" inamaanisha nini katika 1 Timotheo 3:2? Je, mume aliyetalaka anaweza kutumika kama mchungaji, mzee, au shemasi?

Ni mfumo upi sahihi wa ubatizo?

Je, Mungu anahitaji Wakristo waitunze Sabato?

Kuna tofauti gani kati ya kanisa la dunia zima na kanisa la nyumbani?

Je, Mungu anarejesha ofisi za mtume na nabii katika kanisa leo?

Je! Ubatizo unahitajika kabla ya mtu kupokea ushirika?

Nini maana ya ibada ya Kikristo?

Jinsi gani mgogoro katika kanisa unapaswa kushughulikiwa?

Je! Upandaji wa kanisa ni nini?

Je! Kanisa linapaswa kutoa sehemu ya kumi ya sadaka inayopokea?

Ni kiasi gani cha kipaumbele lazima ibada iwe kanisani?

Je! Biblia inasema nini kuhusu uthibitisho wa Kikristo?

Je! Ni majukumu gani ya mashemasi katika kanisa?

Je! Ni wajibu gani wa mzee kanisani?

Je! Tunatakiwa kutumia vyombo vya muziki kanisani?

Je! Yesu ni Sabato yetu ya kupumzika aje?

Je! Wanawake Wakristo wanapaswa kuvaa kifuniko cha kichwa?

Je! Mtu aliyeolewa na mwanamke aliyetalakiwa anaweza kutumikia katika uongozi wa kanisa?

Ni tofauti gani kati ya maagizo na sakramenti?

Je! Tunapaswa kutii wachungaji wetu?

Je, kuna manabii katika kanisa leo?

Nilibatizwa kwa njia isiyo ya Kibiblia. Je, ninahitaji kubatizwa tena?

Je, mwamba ni nini katika Mathayo 16:18?

Je, divai au maji ya zabibu inapaswa kutumika kwa ushirika?

Je, wanawake wanaweza kutumika kama mashemasi kanisani?

Wanawake wanaweza kutumika kama wazee kanisani?

Je! Wanawake wanapaswa kubaki kimya kanisani?

Je! Ni viungo gani vya huduma ya ibada ya kweli ya kibiblia?

Je, Bibilia inafundisha ubatizo wa muumini/Imani ya ubatizo?

Ni jinsi gani Kanisa ni Mwili wa Kristo?

Ina maana gani kwamba kanisa ni bibi arusi wa Kristo?

Kuna thamani gani ya kuwa na familia ya kanisa?

Je! Mtu anapaswa kuhudhuria kanisa ndio aende mbinguni?

Nitazingatia nini ninapotafuta kanisa?

Kwa nini uanachama wa kanisa ni muhimu?

Kanisa linapaswa kufanya nini na sadaka inayopokea?

Je, tofauti kati ya mapdre na waumini ni ya kibiblia?

Je, ushirika unapaswa kuwa wazi au kufungwa?

Je, imani ya kuleta umoja wa wakristo ni ya kibiblia? Je! Mkristo anapaswa kujihusisha katika harakati ya muungano wa madhehebu?

Nimechomwa na kuumizwa na kanisa katika siku za nyuma? Niwezaje kushinda hili na kufanya upya shauku kwa kanisa na hamu ya kuhudhuria kanisa?

Ni lini inafaa kuacha kanisa?

Je, Siku ya Bwana ni nini?

Ni mara ngapi meza / mwili wa Bwana unapaswa kuzingatiwa?

Ni sababu zipi hasa za kukosa kanisa?

Mkristo anapaswa kufanya nini ikiwa anaishi katika eneo ambapo hakuna kanisa la kuhudhuria?

Mchungaji ana mamlaka kiasi gani juu ya kanisa?

Je, inahitajika kwamba mtu awe na elimu ya kawaida ya Biblia kabla ya kuhudumia kama mchungaji?

Sifa za wazee na mashemasi ni gani?

Ni njia gani ninaweza kutumikia / kuhudumia kanisani?

Ni nini ishara ya ubatizo wa maji?

Kanisa lilianza lini?

Wanawake wanaweza kufanya kazi gani katika huduma?


Maswali kuhusu kanisa