Maswali kuhusu uchanganusi wa bibilia


Fafanuo la theolojia ni gani?

Mafundisho ya Calvin na mafunzo ya Arminian- ni mtazamo upi uko sawa?

Je! Mfumo wa dini ni wa kibibilia?

Ni nini maana ya mtazamo wa Kikristo?

Ni ni maana ya Kipindi cha miaka elfu moja kabla Yesu arudi?

Ni nini maana ya utaratibu wa teolojia?

Ni nini maana ya uchaguzi wa tangu asili? Je! Uchaguzi wa tangu asili ni wa kibibilia?

Amilenia (kipindi cha miaka elfu moja) ni nini?

Nadharia mbalimbali juu ya upatanisho ndio gani?

Wakristo watetezi ni akina nani?

Maadili ya Kikristo ni gani?

Je, ni nini maana ya Mkataba wa Theolojia na ni wa kibiblia?

Majaliwa ya kipekee ni nini?

Ni nini maana ya ufunuo wa jumla na ufunuo maalum?

Kipindi baada ya utawala wa miaka elf moja nini?

Teolojia marekebisho ni gani?

Teolojia badala ni nini?

Imani ya Utatu ni nini? Imani ya Utatu ni ya kibiblia?

Je, upuuzi wa sharia ni gani?

Je! Uharaminia ni nini, na ni wa kibiblia?

Je! Ni maagano gani yako katika biblia?

Je! Theolojia ya Uhuru wa wanyonge ni nini?

Ukalvni ni nini na ni wa Kibiblia? Je, hoja tano kuu za Ukalvini ndio gani?

Je, uuwinashaji ni nini?

Ni hoja gani ya kisaikoljia ya kuwepo kwa Mungu?

Kazi ya Roho Mtakatifu pasi na hiari ya mwanadamu dhidi ya vs. muungano wa vitu saidi ya kimoja- ni maoni gani yaliyo sahihi?

Je, Uamuzi wa mbeleni ni nini? Je, kuamua (determinism) ni nini?

Je! Ufadhila ni nini?

Je, Ukalvin-shawishi ni nini, na ni wa Kibilbia?

Je! Israeli na kanisa ni kitu kimoja? Je! Mungu bado ana mpango wa Israeli?

Ni tofauti gani kati ya Ufalme wa Mungu na Ufalme wa Mbinguni?

Je, ni maana ya teolojia ya ukombozi?

kati ya "monegizimu (Monergism ) na sinegizimu au (synergism )- ni maoni gani ni sahihi?

Ni nini maana ya teolojia ya maadili?

Je, ni imani gani za Yesu pekee / Je, kuna umoja wa Pentekoste?

Je, hoja ya Ontolojia ya kuwepo kwa Mungu ina maana gani?

Ufunuo endelezi unahusiana namna gani na wokovu?

Je, ni toleo la vipindi saba ni nini?

Je! Biblia inafundisha maadili ya hali?

Je! Ni hoja gani ya kielimu ya uwepo wa Mungu?

Je, Mungu kujionesha kama mwanadamu kuna maana gani? Uungu wa Kristo?

Je, Utiliteria au (Utiliterianism) ya maanisha nini?


Maswali kuhusu uchanganusi wa bibilia