settings icon
share icon
Swali

Fafanuo la theolojia ni gani?

Jibu


Neno "theolojia" linatokana na maneno mawili ya kiyunani ambayo yakiunganishwa pamoja humaanisha "utafiti kuhusu Mungu." Teolojia ya Kikristo ni jaribio la kumuelewa Mungu kama Yeye anavyofunua katika Biblia. Hakuna Theolojia milele hueleza kikamilifu Mungu na njia zake kwa sababu Mungu ni mkuu na wa milele kutuliko sisi. Kwa hiyo, jaribio lolote la kumuelezea litapungikwa kulingana na (Warumi 11:33-36). Hata hivyo, Mungu anataka tumfahamu Yeye kadiri tuwezavyo, na teolojia ni sanaa na sayansi ya kujua ni nini tunaweza kujua na kuelewa kuhusu Mungu kwa njia ya kupangwa na ya kueleweka. Baadhi ya watu hujaribu kuzuia theolojia kwa sababu wanaamini huleta mgawanyiko. Ikieleweka vyema, ingawa, theologia huungana. Teolojia sahihi ya kibiblia ni jambo zuri; ni mafundisho ya neno la Mungu (2 Timotheo 3:16-17).

Utafiti wa teolojia, basi, si kitu zaidi kuliko kuchimba ndani ya neno la Mungu kugundua kile kichoko ili kubaini juu yake mwenyewe. Wakati sisi kufanya hivyo, sisi humjua kama Muumba wa kila kitu, Mlezi wa kila kitu, na hakimu wa kila kitu. Yeye ni mwanzo tena mwisho wa mambo yote. Musa alipouliza kuwa ni ni nani ambaye alikuwa anamtuma kwa Farao, Mungu alijibu "MIMI NIKO AMBAYE NIKO" (Kutoka 3:14). Jina mimi linaonyesha utu. Mungu ana jina, hata kama amempa majina ya watu wengine. Jina mimi linasimama kwa ajili ya utu huru, kwa makusudi , na kujitegemea. Mungu si nguvu ya dunia au nishati ulimwengu. Yeye ni mwenyezi, binafsi anaishi, mwneye bidii ya kibinafsi mwenye nia na mapenzi - "binafsi" Mungu ndiye ambaye amejifunua kwa binadamu kupitia kwa neno lake, na kwa njia ya Mwana wake, Yesu Kristo.

Kujifunza teolojia ni kupata kumjua Mungu ili tupate kumtukuza kwa njia ya upendo wetu na utii. Kumbuka maendeleo hapa: ni lazima kupata kumjua kabla tuweze kumpenda, na sisi lazima kumpenda kabla tuweze kutaka kumtii. Kama bidhaa, maisha yetu ni ya utajiri wa ajabu mno kwa faraja na matumaini Yeye anatupa kwa wale ambao wanamfahamu, mpenda, na kumtii. Teoloji mbaya na elewo baya juu ya Mungu tu hufanya maisha yetu kuwa mbaya badala ya kuleta faraja na matumaini ya muda mrefu tunaotarajia. Kujua kuhusu Mungu ni muhimu sana. Sisi tutakuwa wa kikatili kwetu wenyewe kama sisi tutajaribu kuishi katika dunia hii bila fahamu ya Mungu. Dunia ni mahali chungu, na maisha ndani yake ni ya kusikitisha na mabaya zaidi. Kataa theolojia na ujiangamize mwenyewe maishani na bila kuwa na mwelekeo. Bila teolojia, sisi hupoteza maisha yetu na kupoteza nafsi zetu.

Wakristo wote lazima wazame katika teolojia - makali, utafiti wavbinafsi kuhusu Mungu ili kujua , kupendo, na kumtii Mmoja ambaye sisi kwa furaha tutaishi naye milele.

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Fafanuo la theolojia ni gani?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries