settings icon
share icon
Swali

Imani ya Utatu ni nini? Imani ya Utatu ni ya kibiblia?

Jibu


Imani ya Utatu ni mafundisho ambayo Mungu katika utatu, kwamba Amejifunua kwa njia tatu sawia na kwa watu watatu wa ushirikiano sawia. Kwa kina Biblia huwasilisha Utatu, tafadhali angalia makala yetu juu ya nini Biblia inafundisha kuhusu Utatu. Madhumuni ya makala haya ni kujadili umuhimu wa Utatu kuambatana na uhusiana na wokovu na maisha ya Kikristo.

Sisi mara nyingi huulizwa swali, "Je, ni lazima niamini katika Utatu ili niokolewe kuokolewa?" Jibu ni naam na la. Je, ni lazima mtu aelewe na kukubaliana na kila nyanja ya utatu ili aokolewe? Hapana. Je, kuna baadhi ya mambo ya Watrinitaria ambayo huwa na majukumu muhimu katika wokovu? Ndiyo. Kwa mfano, uungu wa Kristo ni muhimu sana kwa mafundisho ya wokovu. Kama Yesu hakuwa Mungu, kufa kwake hakungeweza kulipa adhabu ya dhambi milele. Mungu tu ndiye asiye na mwisho -Yeye hakuwa na mwanzo, na Yeye hana mwisho. Viumbe wengine wote, ikiwa ni pamoja na malaika, wana mwisho; viliumbwa wakati fulani. Ni kifo tu cha asiye na wmisho kinaweza kuondoa dhambi ya wanadamu milele. Kama Yesu hakuwa Mungu, hangeweza kuwa mwokozi, Masihi, Mwana-kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu (Yohana 1:29). Maoni yasiyo ya kibiblia kuhusu asili ya Uungu ya Yesu matokeo yake ni mtazamo mbaya kwa wokovu. Kila "Mkristo" dhehebu ambayo yanakanusha kwamba Uungu wa Kristo pia hufundisha kwamba ni lazima tuongeze matendo yetu zaidi ya kifo cha Kristo ili tuokolewe. Kweli na uungu kamili wa Kristo, ni suala la Utatu, ambalo linapinga dhana hii.

Wakati huo huo, tunatambua kwamba kuna baadhi ya waumini wa kweli katika Kristo ambao hawaamini kwa kabisa utatu wa Mungu. Wakati sisi tunakataa uupya, sisi hatukani kwamba mtu anaweza kuokolewa wakati anashikilia kwamba Mungu si wa atatu, lakini badala yake alijifunua wazi katika "njia" tatu. Utatu ni siri, ambayo hakuna mwanadamu aliye na mwisho anaweza kibisaa, au kikamilifu, kuelewa. Ili wokovu upokelewe, Mungu inatuhitaji sisi kumwamini Yesu Kristo, Mungu mwenye katika mwili, kama Mwokozi. Ili wokovu upokelewe, Mungu hatuhitaji kuzingatia kamili kwa kila amri ya sauti theolojia ya Biblia. hamna, ufahamu kamili na makubaliano ya nyanja zote ya utatu hasihitajiki kwa ajili ya wokovu.

Sisi tunashikilia sana kwamba Imani ya Utatu ni mafundisho ya kibiblia kimsingi. Sisi kiimani tunatangaza kwamba kuelewa na kuamini katika Imani ya Utatu wa Biblia ni muhimu sana kwa kumuelewa Mungu, wokovu, na kazi inayoendelea ya Mungu katika maisha ya waumini. Wakati huo huo, kumekuwa na watu wanaomcha Mungu, wafuasi wa kweli wa Kristo, ambao wamekuwa na maoni tafauti kuhusu suala la utatu. Ni muhimu kukumbuka kwamba sisi hatuokolewi kwa kuwa na mafundisho kamili. Tunaokolewa kwa kuamini katika Mwokozi wetu (Yohana 3:16). Je, ni lazima tuamini katika baadhi ya nyanja za utatu ili tuokolewe? Naam. Je, ni lazima tukubali kikamilifu maeneo yote ya utatu ili kuokolewa? La!

EnglishRudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Imani ya Utatu ni nini? Imani ya Utatu ni ya kibiblia?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries