settings icon
share icon

Maswali kuhusu utu

Ni kwani watu katika Mwanzo waliishi maisha marefu?

Je! Mwanzo wa watu wa rangi tofauti ulitoka wapi?

Je! Tuko na sehemu mbili au tatu? Je! Tuko na mwili, nafsi na roho- ama mwili, nafsi na roho zikiwa pamoja?

Je! Yamaanisha nini kuwa mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu (Mwanzo 1:26-27)?

Ni tofauti gani ilioko kati ya nafsi na roho ya mwanadamu?

Bibili inasema nini kuhusu ubaguzi wa rangi,kuchochea wengine na kutenga wengine kando?

Je, kuna kikomo cha umri ambao ni muda gani tunaweza kuishi?

Je, sisi wote ni watoto wa Mungu, au Wakristo tu pekee?

Je, mtazamo wa Kikristo ni upi kuhusu uumbwaji wa binadamu kujamiana?

Biblia inasemaje juu ya kuchoma maiti? Wakristo wanapaswa kuchomwa wakifa?

Biblia inasema nini kuhusu kifo cha huruma?

Inamaanisha nini kwamba sisi tumeumbwa kwa njia ya ajabu na ya kutisha (Zaburi 139:14)?

Je, binadamu kweli ana mapenzi hiari?

Je, kila mmoja wetu yuko na 'umbo nzima la Mungu?

Je, mwanadamu anaweza kuishi bila Mungu?

Je ni vipi nafsi ya binadamu uumbwa?

Je, nafsi ya binadamu hufa au ni ya milele?

Kwa nini Mungu alituumba?

Ni nini sababu ya kupinga na Uyahudi duniani kote?

Pumzi ya maisha ni nini?

Ni nini maana ya dhamiri?

Ni namna gani uanguko uliathiri ubinadamu?

Mkristo anapaswa kuuona uhandisi wa maumbile?

Nini hali ya kibinadamu? Biblia inasema nini kuhusu hali ya kibinadamu?

Nafsi ya mwanadamu ni nini?

Roho ya binadamu ni gani?

Ni alama gani ambayo Mungu aliiweka Kaini (Mwanzo 4:15)?

Watu wa Mungu ni akina nani?

Ina maana gani kukufa kiroho?

Mwili ni nini?

Moyo ni nini?

Biblia inasema nini kuhusu kuzeeka/kukua mzee?

Anthropolojia ya Kikristo ni nini?

Je! Mungu anatuhitaji?

Ina maana gani kwamba Mungu aliwapa kibinadamu mamlaka ya kutawala wanyama?

Ina maana gani kuwa sehemu ya familia ya Mungu?

Ikiwa Mungu alijua kwamba Adamu na Hawa watafanya dhambi, kwa nini aliwaumba?

Ubinafsi dhidi ya ujima — Biblia inasema nini?

Mtu wa ndani ni nani?

Je, uavyaji mimba na uuaji?

Je, kuna chochote ninaweza kufanya cha kunihakikisha maisha marefu?

Je! Ni nini mauaji ya huruma?

Ni nani hasa "anamchezea Mungu" — daktari anayekatiisha mgonjwa, au daktari ambaye anaongeza maisha ya mgonjwa na ugonjwa isiyo na tiba?

Biblia inasema nini juu ya udhibiti wa idadi ya watu?

Ni nini kusudi la mwanadamu, kulingana na Biblia?

Ina maana gani kuamini utakatifu wa maisha?

Je, Jedwali la Mataifa ni nini?

Mgawo wa sehemu tatu dhidi ya mgawo wa sehemu mbili ya mwanadamu — ni mtazamo gani ni sahihi?

Mbona watu hufa?

Je! Kurithi nafsi kutoka kwa wazazi ina maana gani?

Je, mtu anaweza kuzaliwa na jinsia isiyo sahihi?

Je! Ni nini maana ya kuwa binadamu?

Je! Biblia inaunga mkono sayansi ya kustawisha wanadamu?

Je! Elimu ya uhusiano wa nyama na nafsi katika mwili wa mwanadamu ni nini?

Je, ni makosa kwa wanaume kuwa na tabia za kike au kwa wanawake kuwa na tabia za kiume?

Ni nani aliyekuwa mtu mkongwe zaidi katika Biblia?

Guff ni nini?

Kwa nini usingizi au kulala ni muhimu? Kwa nini Mungu alituumba tukiwa na hitaji ya kulala?

Je, Biblia inasema nini kuhusu kuwepo kwa nafsi kabla ya mtu kuzaliwa?

Je! Mwanadamu aliyeunganishwa atakuwa na roho?

Biblia inasema nini kuhusu kuchukulia kabila zingine kuwa duni kuliko yako?Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Maswali kuhusu utu
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries