Maswali kuhusu dini za uongo


Kuna elezo gani la dhehebu?

Agnostiki ni nini?

Je! Falsafa ya kilimwengu/ falsafa ya wokovu ni ya Kibibilia?

Ni njia gani nzuri ya kumhubiria mtu aliye katika dhehebu au dini ya uongo?

Maangamizo ni jambo la kibibilia?

Ninawezaje kumtambua mwalimu wa uongo/ nabii wa uongo?

Mashahidi wa Yehova ni akina nani na wanaamini nini?

Je! Umomoni ni dhehebu? Wamomoni wanaamini nini?

mMtazamo wa preteristi kuhusu nyakati za mwisho ni upi?

Ukanaji Mungu ni nini?

Ukanaji Mungu wazi wazi ni nini?

Wakristo wanastahili kuwa wastahimilifu kwa imani za dini za watu wengine?

Ubuddha ni nini na Wabudha wanaamini nini?

Uagnostiki wa Kikristo ni nini?

Sayansi ya ukristo ni nini?

Dini zote mbalimbali pamoja, ni jinsi gani naweza kujua ile ambayo ni sahihi?

Kanisa halisi kiimani la Mashariki ni gani na imani ya Wakristo wa dini hii ni gani?

Uislamu ni nini, na nini Waislamu wanaamini?

Uyahudi ni nini na Wayahudi wanaamini nini?

Biblia inasema nini juu ya karma?

Kuna tofauti kati ya dini na kiroho?

Je, Usayansi ni Ukristo au ni Dhehebu?

Kwa nini kuna dini mingi? Je,dini zote huelekeza kwa Mungu?

Uariani ni nini?

Sala tafakari ni nini?

Tafakari ya kiroho ni nini?

Uwili ni nini?

Nadharia ya JEDP ni nini?

Maadili yalipitwa na wakati na yanatawaliwa na ubongo ni nini?

Ni nini maana ya Kila kitu kina Uungu?

Je, Upelejia na Nusu-Pelajia ni nini?

Ushirikina ni nini?

Je, ni nini upinzani pungufu na upinzani wa juu?

Je, tatizo la Injili ni gani?

Biblia inasema nini kuhusu ibada ya mababu?

Je, Uhuishaji ni nini?

Ubatizo wa urejesho ni nini?

Kubatizwa kwa wafu ni nini?

UkristoUislamu ni nini?

Je, wokovu wa pamoja ni nini?

Ni maana ya usalama wa masharti?

Je, Ukonifusiani ni nini?

Ni nini uhusiano wa kiutamaduni?

Unyambuzi- ni njia sahihi ya kutafsiri Biblia?

Je, wauguzi wa imani ni wa kweli? Je, mponyaji wa imani anaponya na nguvu sawa na za Yesu?

Je, Uashi wa Uhuru ni nini na ni nini wanauasi wa huru huamini?

Injili ya kujumuizwa ni nini?

Mimi ni Mhindu, kwa nini nifikirie kuwa Mkristo?

Tapasamu kitakatifu ni nini?

Je! Mkristo anapaswa kushauriana na nyota?

Ujaini ni nini?

Mimi ni Shahidi wa Yehova, kwa nini ninapaswa kuwa Mkristo?

Je, Yesu Mikaeli ni Malaika Mkuu?

Je! Yesu na Shetani ni ndugu?

Joseph Smith alikuwa nani?

Ufalme sasa unafundisha nini?

Kwa nini Wamormoni wanajiita wenyewe kama Watakatifu wa Siku za Mwisho?

Je, teolojia ya Kikristo ya uhuru ni gani?

Je, fugufugu la Mvua la Mwisho ni gani?

Je! Mimi ni wa Kanisa la Siku za Mwisho, kwa nini napaswa kuzingatia kuwa Mkristo?

Je! Harakati ya umri mpya ni nini?

Je! Tafsiri Mpya ya Ulimwengu ni toleo halali la Biblia?

Je! Mizungu ni nini?

Je! Unabii wa kibinafsi ni dhana ya kibiblia?

Je! Kusihi damu ya Yesu ni ya kibiblia?

Je! Ukristo baada ya kisasa ni nini?

Je! Kuna nguvu yoyote katika fikira ya kujenga?

Je! Malkia wa Mbinguni ni nani?

Je! Rastafariani ni nini?

Je! Ubinadamu kidunia ni nini?

Je! Shinto ni nini?

Je! Sikhism ni nini?

Je! Harakati ya ukuaji wa kiroho ni nini?

Nadharia ya Kuzimia ni nini? Je! Yesu aliponea kusulubiwa?

Je! Taoism/Daoism ni nini?

Je! Baraka za Toronto ni nini?

Je! Biblia ya Mnara wa Doria na Shirika la Eneo ni nini?

Biblia inasema nini juu ya uchawi mweupe?

Wicca ni nini? ''Je, Ni Wicca ni uchawi?

Je! Harakati ya Neno la Imani ni la Kibiblia?

Je! dini za kawaida ulimwenguni ni zipi?


Maswali kuhusu dini za uongo