settings icon
share icon
Swali

Ni nana gani uwezo wa Mungu na mapenzi ya mwanadamu hushiriki pamoja kwa ajili ya wokovu?

Jibu


Ni vigumu kwetu sisi kuelewa uhusiano uliopo kati ya Uwezo wa Mungu na mapenzi ya mwanadamu na jukumu lake. Ni Mungu pekee kwa kweli anajua vile vinafanya kazi pamoja katika mpango wake wa wokovu. Zaidi, hata hivyo mafunzo ya dini na swala hili, ni muhimu kukubali kuwa unyonge wetu wa kutofikia utakatifu wa Mungu na ushirika wake nasi. Kwenda mbali sana iwe ni kando sana, huleta mafunzo ya kupotosha juu ya wokovu.

Maandiko yako wazi kwamba Mungu anajua ni nani ataokolewa (Warumi 8:29; 1Petero 1:2). Waefeso 1:4 yatueleza kwamba Mungu alituchagua, “kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu.” Bibilia yarudia rudia kusema kuwa Wakristo “wamechaguliwa” (Warumi 8:33; 11:5; Waefeso 1:11; Wakolosai 3:12; 1Wathesalonike 1:4; 1Petero 1:2; 2:9) na “wateule” (Mathayo 24:22,31; Mariko 13:20,27; Warumi11:7 1Timotheo 5:21; 2Timotheo 2:10; Tito 1:1; 1Petero 1:1). Hoja kwamba Wakristo walikwisha teuliwa (Warumi 8:29-30; Waefeso 1:5,11), na kuteuliwa (Warumi 9:11; 11:28; 2 Petero 1:10), kwa wokovu ni jambo liko wazi. Bibilia bado yasema kuwa jukumu ni letu kumpokea Yesu Kristo-tunchoastahili kufanya ni kuamini Yesu Kristo na tutaokolewa (Yohana 3:16; Warumi 10:9-10). Mungu anajua ni nani ataokoka, Mungu anachagua ni nani ataokoka, na ni lazima tumchague Kristo ili tuokolewe. Vile hizi joha tatu zafanya kazi ni jambo liziloeleweka kwa mawazo yaliyo na mwisho kuyachunguza (warumi 11:33-36). Jukumu letu kuipeleka injili kwa mataifa (Mathayo 28:18-20; Matendo ya Mitume 1:8). Lazima tuache hekima yote, kuteuliwa na kusudia ziwe sehemu za Mungu na tuwe wanyenyekivu kwa kutangaza injili.

EnglishRudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Ni nana gani uwezo wa Mungu na mapenzi ya mwanadamu hushiriki pamoja kwa ajili ya wokovu?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries