settings icon
share icon
Swali

Je, uumbaji ni wa kisayansi? Je,uumbaji waweza kuchukuliwa kuwa utaratibu halali wa sayansi?

Jibu


Kwa sasa kunao mijadala mingi kuhusu uhalali wa uumbaji, unaofasiliwa kama “imani kuwa ulimwengu na viumbe vyote vinavyoishi utoka kwa matendo maalum ya uumbaji wa mungu,kulingana na maelezo ya biblia,kuliko jinsi ya kawaida kwa mfano mabadiliko.” Uumbaji wa sayansi kwa kawaida umeondolewa na jamii ya kiulimwengu na kushitakiwa kwa kukosa thamani ya kisayansi. Hata hivyo, uumbwaji kwa wazi uu sambamba na mbinu za kisayansi na mada yoyote. Uumbwaji hufanya taarifa kuhusu matukio ya ulimwengu halisi, maeneo, na vitu. Haujihuzishi pekee na mawazo ya mapizano au dhana ya kufikirika. Kuna ukweli wa kisayansi imara ambao ni sambamba na uumbwaji, na njia ambayo mambo hayo uhusiana moja kwa lingine yamejikita kwenye tafsiri ya uumbaji. Yesu kama mawazo mengine pana ya kisayansi hutumiwa kutoa mikopo mshikamano na mfululizo wa ukweli, vivyo hivyo uumbaji pia.

Hivyo basi, ni jinsi gani uumbwaji dhidi ya "uasili," hufafanuliwa kama "mtazamo wa falsafa ambayo kwayo kila kitu kinatokana na mali ya asili na sababu, na maelezo ya kawaida au ya kiroho kwa kutengwa au puuzwa"-kisayansi? Hakika, jibu linategemea jinsi gani unaweza kufafanua "usayansi." Mara nyingi, "sayansi" na "asili" huchukuliwa kuwa sawia kimaoni huku ikiacha uumbaji nje kwa ufafanuzi. Kama ufafanuzi unahitaji heshima isiowiana uasili. Sayansi hufafanuliwa kama "uchunguzi, kitambulisho, maelezo, utafiti, majaribio, na maelezo ya kinadharia ya matukio." Hakuna kinachohitaji sayansi, nje an ndan yake chenyewe, ili kuwa uasili. uasili, kama uumbwaji, unahitaji mfululizo wa madhanio ambayo sio yanayotokana na majaribio. Hazitabiriwi kutokana habari/data au kuchukuliwa kutoka kwa matokeo ya utafiti. Dhanio hizi za kifalsafa ni kukubalika kabla ya habari/data yoyote milele kuchukuliwa. Kwa sababu zote mbili na asili na uumbwaji hufutiwa na madhanio ambayo isio tibithika wala kufanya jaribio, na kuingia katika majadiliano vizuri kabla ya ukweli kufanywa, ni haki kusema kwamba umbwaji ni angalau kama kisayansi kama vile uasili.

Uumwaji, kama uasili, unaweza kuwa wa "kisayansi," kwa kuwa unaingiliana na njia ya kisayansi ya uvumbuzi. Dhana hizi mbili, hata hivyo ni sayansi katika yenyewe, kwa sababu mawazo yote ni pamoja na mitazamo ambayo haichukuliwi kama ya "kisayansi" katika hali ya kawaida. Wala uumbwaji wala uasili inaweza fanywa danganyifu; yaani, hakuna majaribio ambayo yanaweza kutamatishwa kwa kukanusha zote mbili. Hakuna hata moja inaweza tabirika; hazitoki wal au kuendeleza uwezo wa kutabiri matokeo. Kipekee kwa misingi ya pointi hazi mbili, tunaona kwamba hakuna sababu mantiki ya kuzingatia moja zaidi kuwa halali kisayansi kuliko nyingine.

Moja ya sababu moja kuu wa mtazamo wa asili wanatoa kwa ajili ya kukataa ule wa uumbwaji ni dhana ya miujiza. Kinaya wa mtazamo wa asili atesama kuwa miujiza kama vile, uumbaji maalum, ni vigumu kwa sababu wao hukiuka sheria za asili, ambayo imekuwa wazi na kutunzwa kihistoria. Mtazamo kama huo ni kinaya kwa matukio kadhaa. Kama mfano mmoja, fikiria asili ya uzazi, nadharia kuwa maisha hayakujibuka kutoka viumbe visivyo n uhai. Chembe chembe za uzazi ni mojawapo ya dhana ya sayansi ambayo imekanushwa kwa bidii sana. Hata hivyo, maoni ya kweli ya mtazamo wa uasili unachukulia kwamba maisha katika dunia yanajishalisha yenyewe, yajinakilisha, kujitegemea, maisha hai tata yalijibuka kwa bahati kutoka kwa kitu kisicho na uhai. Jambo hilo halijawahi kuzingatiwa katika historia zote za binadamu. Mabadiliko manufaa ya mgeuko ulihitaji kuendeleza kiumbe kwa umbo ambalo halijawai onekana. Hivyo mtazamo wa uumbaji washikilia ushahidi wa "kimiujiza" unadai kwamba maandiko yanatoa hesabu ya kumbukumbu ya matukio ya miujiza. Kutaja mtazamo wa uumbaji kuwa sio wa kisayansi kwa sababu ya madai ya miujiza wahitajika sawia kwa mtazamo wa uasili.

Kuna mambo mengi ambayo hutumiwa na pande zote mbili za mjadala wa uumbaji dhidi ya uasili. Ukweli ni ukweli, lakini hakuna kitu kama vile ukweli kwamba unahitaji tafsiri moja. Mgawanyiko kati ya uumbaji na uasili kidunia unakaa kabisa juu ya tafsiri tofauti. Kuhusu mageuzi dhidi ya kuundwa kwa mjadala hasa, Charles Darwin mwenyewe alifanya hatua hii. Katika utangulizi wa asili ya chimbuko la spishi, alisema, "Mimi nafaamu vyema kwamba hatua moja imejadiliwa katika kitabu hiki ambao ukweli hauwezi tolewa, mara nyingi unaonekana kuelekeza kwa hitimisho moja kwa moja kinyume na ule ambao nilifikia." Ni wazi kwamba, Darwin aliamini mageuzi juu ya viumbe, lakini alikuwa tayari kukubali kwamba hiyo tafsiri ni muhimu kwa kuchagua imani. Mwanasayansi mmoja anaweza kuona ukweli hasa kuwa wa kuunga mkono uasili; mwanasayansi mwingine anaweza kuona ukweli huo huo kuwa wa kuunga mkono uumbaji.

Pia, ukweli kwamba uumbwaji unaweza kuwa nji mbadala kwa mawazo ya uasili kama vile mageuzi yanafanya mada halali, hasa wakati wa mwainisho wa uwili umekiriwa na baadhi ya akili ya viongozi wa sayansi. Wanasayansi wengi wanajulikana na ushawishi mkubwa hali ambayo yana uwezekano kimaelezo kwa maisha ya mageuzi iasili au uumbaji maalum. Sio wanasayansi wote wanakubaliana juu yale ambayo ni ya kweli, lakini wao kwa karibu wote wanakubaliana kwamba moja au lingine lazima liwe.

Kuna sababu zingine nyingi ni kwa nini uumbaji ni mbinu mantiki na ni ya kisayansi kujifunza. Miongoni mwa haya ni dhana ya uwezekano kweli, kiidhibati msaada wa mageuzi,kwa jumla, ushahidi wa uzoefu, na kadhalika. Hakuna msingi wa mantiki unakubali dhana ya uasili wazi na kiurahisi kukataa dhana ya uumbwaji. Imani imara katika viumbe hakuna kikwazo kwa ugunduzi wa kisayansi. Tu kupitia mafanikio ya watu kama Newton, Pasteur, Mendel, Pascal, Kelvin, Linnaeus, na Maxwell. Wote walikuwa wazi kwa mtazamo wa uumbwaji kistarehe. Uumbwaji sio "sayansi," tu kama vile uasili si "sayansi." Uumbwaji, hata hivyo, kikamilifu uu sambamba na sayansi yenyewe.

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Je,uumbaji ni wa kisayansi? Je,uumbaji waweza kuchukuliwa kuwa utaratibu halali wa sayansi?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries