settings icon
share icon
Swali

Biblia inayapi kuhusiana na ubinafsi, kujipenda?

Jibu


Mapenzi yanavyodhihirishwa kwa Biblia yanatofautiana na vile dunia ianauonyesha.Upendo wa dunia unajipenda ilhali wa Kibiblia huwatambua wengine mwanzo. Nakala zifuatazo zinanakiri kuwa upendo anao Mungu na ule wa dhati unatoka kwa yule anao upendo wa Mungu wa kale:

Warumi 13: 9-10, "Maana kule kusema usizini, "Usiue," 'Usiibe,' 'Usitamani,' na ikiwapo amri nyingine yoyote inajumulishwa katika neno hili ya kwamba:"Mpende jirani yako kama nafsi yako.pendo halimfanyii jirani neno baya basi pendo ndilo utimilifu wa sharia. "

Yohana 13: 34-35, "Amri mpya nawapa: mpendane. Kama nilivyowapenda, ninyi nanyi mpendane vivyo hivyo.Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi. "

1 Yohana 4: 16-19, "Nasi tumelifahamu pendo alilonalo Mungu kwetu sisi na kuliamini,Mungu ni upendo naye akaaye katika pendohukaa ndani ya Mungu na Mungu huka nadani yakeKatika hili pendo limekamilishawa kwetu ili tuwe na ujasiri katika siku ya hukumukwa kuwa kama yeye alivyo ndivyo tulivyo na sisi ulimwenguni humu. Katika upendo hamna hofu lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu kwa maana hofu inaNa mwenye hofu hakukamilishwa.Sisi twapenda kwa maana yeye alitupenda sisi kwanza"

Maandiko "mpende jirani yako kama nafsi yako" si amrisho ya kujipenda. Ni nafsi yetu iliyooanguka kuwa ni kawaida kuwa na ubinafsi. Hamna upungufu wa kujipenda katika dunia yetu. Amri ya "Mpende jirani yako kama nasi yako" mwanzo inatuonyesha kuwafanyia wengine kama tutakavyo.Bibilia haijatuambia kujindendaa:inafikiria tunatenda hata. Shida yetu kuu ni kujipenda sana.

Kwa mafundisho ya Msamaria mwema, ni mmoja alidhihirisha ujirani mwema kwa mtu aliyeutaka: Msamaria (Luka 10: 30-37). Waliosalia wawili, kuhani na Mlawi, hawakumkumbuka aliyetaka msaada. Waliweka mahitaji yao mwanzo na kuwa na ubinafsi ndio maana walikosa walikosa kumpa usaidizi yule aliyehitaji. Msamaria alidhihirisha upendo kamili-alijinyima muda,mali,na hela bila kujifikiria mwanzo. Alilenga kusaidia si mawazo. Yesu alitoa hii kama kudokeza ujirani mwema. (Luka 10: 25-29).

Tunafaa kuwajali na kuwapenda wengine. Kukomaa kwa mkristo ni. "msitende neno lolote kwa kushindana wala kwa majivuno bali kwa unyenyekevu kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake.kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe bali kila mtu aangalie mambo ya wengine. "(Wafilipi 2: 3-4). Kulingana na kipengele hiki ni kuthamini wengine na kuweka maslahi yao mwanzo. Vingine kuliko hivi ni kujipenda na kipimo kiko chini ya cha Kristo.

Chochote kisifafanuliwe kumaanisha hatuna "thamani." Biblia inadokeza kuwa tumefanywa kwa sura ya Mungu, nah ii hutupa maana kuu. (ona Luka 12: 7). Mtazamo wa Bibilia ni kuwa tu viumbe teule tulioenziwa na Muumbaji,bila kujali dhambi zetu,na kutuokoa kupitia Kristo.Kwa upendo wake tutaweza kuthamini.

Tunatambua watu kutokana na mapendo ya Mungu kuja kwetu kupitia Kristo. Kupitia mujibu huu tunaonyeshana na wote-"majirani" wetu. Yule awazaye hajajipenda vilivyo anawaza visivyo. Tafakari yake inafaa kuwa kibibilia,upendo wa Muumbaji na wa mwenzake. "Utu" ndiyo tunahitaji ndio tuweze kupenda ifaavyo.

EnglishRudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Biblia inayapi kuhusiana na ubinafsi, kujipenda?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries