settings icon
share icon
Swali

Muumini anafaa kuwa mzalendo?

Jibu


Ukweli unaegemea pakubwa maana ya "uzalendo." Yalivyo majina kadhaa,maana pia ni mingi,na hulka nyigi hufafanua kwa namna kadhaa.Mwanzo,kirahisi,ni kwamba, "kuenzi dunia ya w engine"Hakuna shida kwa muumini kuwa mzalendo ikiwa tu haujaweka Imani katika dunia,na pia jinsi yalivyo mapenzi ya mtu kwa Mungu.Pia uzalendo una maananisha kutanguliza mahitaji ya nchi dhidi yake. Haki kufikia huku uzalendo unaweza maanisha kufanya ibada kwa miungu,pale ambapo dunia imethamaniwa kuliko Mungu na malengo Yake ya kuokoa wanadamu dhidi ya "kila taifa,na kabila,na jamaa,na lugha " (Ufunuo 7: 9).

Jukumu la muamini kwa uongozi wake,twafahamu katikaWarumi 13: 1-7 kuwa tuna jukumu kwa uongozi unaoongoza,hata wasipositahili,maana ni Mungu aliyewatia uongozini dhidi yetu.Jukumu la muumini kuwa mzalendo kamiri chini ya mamlaka ya uongozi juu yetu kwa kuuata amri, kutoa ushuru, nk. Ingawa la maana ni kutii Mungu. Kwa nchi wanadamu wanaweza kuweka na kubadili uongozi ama kutangamano na uongozi,upande wa kuwa mzalendo mwema kwa kupiga kura na kufanya mazuri kwa uongozi.

Katika mataifa ambayo waumini hawana usemi kwa wakuu wao,si rahisi kuwa mzalendo.Si rahisi kuwa na mapenzi na serikali ya kudhulumu.Ila waumini wanajukumu la kusali kwa niapa ya viongozi wao. (1 Timotheo 2: 1-4). Mungu atatimiza sharia hizi,n kwa wakati ufaao.ataheshimu utii wetu kwa amri hii, Atafanya kuwahukumu wakuu wasiokiri na kutii amri yake.

Muumini anafaa kuwa mzalendo? Kukiwa na maana,naam. Pia tumaini la Mkiristo hatimaye ni kuwa, Imani, upendo na heshima ya kumtii ni kwa Mungu tu.

EnglishRudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Muumini anafaa kuwa mzalendo?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries