settings icon
share icon
Swali

Muumini anafaa kujiwekea pesa kwa soko la hisa?

Jibu


Wengine wanakataa kuhifadhi katika biashara ya fedha,wakisingizia kuwa ni uwizi fulani. Mazungumzo yanafululika kwamba kwa maana uwekezaji huo hulenga hulimbikizaji wa pesa,ni wizi na si lazima.Kupata tikiti za nasibu na kucheza Kamari na kupata mauzo, ninatofautiana pakubwa.Wanakamari huwa hatarini kupoteza hela,ingali wanafahamu vivyo hivyo,kwa mujibu kuwa watapata hela mara moja. Uwekezaji mwafaka ni kupendelea kushiriki katika kumiliki sehemu katika kampuni na hiyo itawezesha kupata manufaa kwa mda mrefu.

Kwa muda kunakuwa na njia mbadala. Njia zingine za kujihifadhia huwa karibu sana na Kamari,ikiwapo na soko la hisa. Kinachohusisha bahati dhidi ya kuamua kwa hekima na muda inafaa kuepukwa iwapo na madhara. Uwekezaji wa muda mrefu huwa na matokeo baadaye,kuiwezesha kuwa na maana sana kama kupata faida ya uwekezaji katika kucheza Kamari. Wengi wanaofanya kuwekeza kwa mujibu wa baadaye uzeeni,masomo kwa wanao,na umilikaji kwa familia zao baadaye.

Maandiko yanafafanua Zaidi jinsi ya kua na mali ifaavyo. Nyingine ni kama kuhifadhi matumizi ya sasa kutengeneza utajiri siku za usoni.Mipango ya Mungu katika kutumia mali yetu yamefafanuliwa katika bibilia. Baadhizo ni zifuatazo:

Mithali 28:20 inasema, "Mtu mwaminifu atakuwa na Baraka tele, lakini afanyaye haraka kuwa tajiri hakosi ataadhibiwa." Hapa dhana ya kuwa tajiri haraka inakemewa.Kujaribu kupata utajiri mara moja haifai ila kujipanga kwa muda ufaaondio mwafaka.

2Wakorintho 9: 6 inasema, "Lakini nasema neno hili,apandaye haba atavuna haba;apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu" Maneno haya yanasema kuhusu kuhifadhi mahusiano yetu na Mungu,ila inadhihirisha vile tunafaa kujinyima kwa ajili ya kesho. PiaMithali 3: 9-10 inasema, "Mheshimu Bwana kwa mali yako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote,ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi na mashinikizo yako yatafurika divai mpy"

Maelezo kadhaa ya Maandiko kuhusu urithi ni maonyo kwa sababu ya kutumainia mali badala ya Mungu (kwa mfano, 1 Timotheo 6: 17-18) ama kunyanyasa wanaotuegemea (ilivyo Mhubiri 5: 13-14). Ikiwa tutathamini Mungu kwa mioyo yetu na jamii kwamapato yetu,na kuweka moyo wa upole na heshima,kuhiadhi si maana katika Muumini kusisitiza.

EnglishRudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Muumini anafaa kujiwekea pesa kwa soko la hisa?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries