settings icon
share icon
Swali

Muumini afaa kuwekeza vyakula/kujianda kwa shida za kesho?

Jibu


Wakati mwingine ni hekima kuwekeza kwa ajili ya baadaye.Ila ni kuona kwetu kuwa hiyo ni ya maana. Mafundisho yake ya Mlimani,Yesu aliafanua kuwa hatufai kuhangaika nafsi zetu juu ya baadaye,kuwa Baba yetu Mbinguni anafahamu haka kama hatujaomba,kuwa kwa kuamini atatujalia. (Mathayo 6: 25-34).Kumwamini Mungu kwa sababu ya tunayohitaji kesho inafaa kutupa mutisha na pia kufunguka kwa wale wanotuhitaji bila kizuizi.

tazama Kumuwaza mjane aliyemlisha Eliya (1 Wafalme 17: 9-16) na namna Mungu alivyomjalia kwa utiifu aliokuwa nao. Pia tunayo wakati Maandiko yanadokeza kujiwekea mapema kwa ajili ya baadaye. Agano la Kale tunajifunza jinsi kupitia ndoto Farao alifahamu kuwa Mungu alimtumia Yusufu kumpa wasia kujipanga dhidi ya njaa iliyokuwa mbele ili kulinda wanadamu kutokana na athari za njaa (Mwanzo 41: 15-41). Farao aliwasaidia wengi kutokana na janga hilo ikiwamo jamii ya Yusufu ambayo ilikuwa baadaye inhusiano na Yesu,kwa kuitikia ushauri wa Yusufu.

Kwa Agano Jipya, Yesu alipowatuma wafuasi wake mwanzo, aliwaamrisha wasijibbee chochote pamoja nao (Luka 9: 3; 10: 1-4). Kisha waliporudi aliwaambia walivyokuwa wamepokezwa (Luka 22:35). Ila kwa maneno yanayofuata,Yesu anawaamrisha kubeba mkopa,hela silaha kinyume na taarifa ya awali ya kutoenda na chochote. (Luka 22:36). Pengine alingamua kuwa wangepatana na hali waliyokuwa hawajaikuta mwanzo.Alimiliki busara na maarifa tele ambayo wafuasi wake hawakuwa nayo na hivyo kumfanya kuwapa mwelekeo tofauti kwa kila hali iliyowapa uliokuwa haufanani.

Ni muhimu na maana kujipanga kwa ajili ya kesho inavyfahamika. Ila tuwe macho tusije tukatia utukufu katika kujipanga huko. Fundisho la Yesu juu mtu maliyetaka kujenga nyumba kubwa kuhifadhi mavuno ni mojawapo ya maandalizi maovu.Tajiri alitazamia mali yake kwa mahitaji yake na mategemeo (Luka 12: 16-21). Hapakuwapo uovu kwake kujijengea na kumiliki maghala makuu. Upotovu ulikuwa pale alipojitegemea na kumsahau Mungu katika maandalizi yake.Hata hivyo aliyesitahili kutukuza ni Mungu kwa ajili ya nafaka hizo tele,na aliitaji busara ya Mungu ili kujilimbikizia hayo yote. Kwa kukosa kumjuliza Mungu na kumshirikisha,uhai wake ulitolewa bila hata kujiurahisha na mazao yake aliyokuwa amejipatia.

Kwa kuhitimiza tunafaa kutafuta busara ya Mungu katika mambo ya kujipanga dhidi ya kesho. Ahadi ya Mungu ni kutoa busara kwa wale wanaoitafuta(Yakobo 1: 5), na hajawahi kosa kutimiza kile ambacho anahaidi. Waumini wanafaa kumiliki hekima itolewayo na Mungu,kuhifadhi ya kutosheleza katika hitaji ya mwanzo,kuhifadhi hela,muda na vipawa kwa ajili ya uhai wa kesho wa daima usiokuwa na mwisho. (Mathayo 6: 19-20). Katika kujipanga kwa ajili ya baadaye, tuwaze ya "daima"

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Muumini afaa kuwekeza vyakula/kujianda kwa shida za kesho?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries