settings icon
share icon
Swali

Miaka ya kuishi duniani ni mingapi? Dunia iko na miaka mingapi?

Jibu


Kwa mjibu wa dhana kwamba kulingana na Bibilia, Adamu aliumbwa katika siku ya sita katika nyota hii tunamoishi, tunaweza kugundua kwa misingi ya kibibilia, kadri umri wa dunia kwa kutizama wendo wa kizazi cha mwanadamu. Hii yaamini kuwa matukio ya Mwanzo yako kamili, ya kuwa siku sita za uumbaji zilikuwa kawaida kipindi cha masaa 24 na hakukuwa na mwanya wowote mkubwa katika wendo la Mwanzo.

Ukoo ambao umeorodheshwa katika Mwanzo sura ya 5 na 11 watupa miaka ambayo Adamu na kizazi chake na kuwa kizazi chake kilizaa kizazi kingine katika ufanisi wa ukoo huo kutoka Adamu hadi Ibrahimu. Kwa kutambua ni wapi Ibrahimu ataingia katika historia ya wendo na kwa kujumlisha miaka ambayo imetolewa katika Mwanzo itakuwa wazi kuwa walimu wa Bibilia wanafunza kuwa dunia iko na umri wa miaka 6000, ongeza au uondoe miaka mia moja.

Na je itakuwa kwa ile miaka bilioni ambayo imekubaliwa na wanasayansi wengi hii leo na kufunzwa katika taasisi zetu nyingi? Miaka hii hasa imetolewa katika mitindo miwili ya kupeana taree: Rediometiriki na kadirio la geolojia. Wanasayansi wanaokubali miaka ya chini kuwa 6000 wasisitiza kuwa mtindo wa rediometiriki ni wa dosari kwa kuwa umejengwa juu ya mzururo wa dhana, bali ule wa geolojia unadosari kwamba unahuzisha wazo la mviringo. Zaidi ya hayo, yote yalenga kufichua visasili vya zamani, kama dhana inayosingiziwa na wengi kuwa itachukua muda mrefu wa wakati ili utabakishaji, kisukuku, na kufanyika kwa almasi, makaa yam awe, mafuta, stalaktitistalagmiti na kadhalika, hutokea. Mwisho, ardhi changa yakubali uthibitisho wa sasa wa kuzaidia wa umri wa ardhi changa kuibadilisha ile ardhi mzee ni thibitisho la kufichua. Ardhi changa yatambua wao ni wachache hii leo lakini wasizitiza lakini magugu yao yatakuwa kwa muda na vile wanasayansi wanavyoendele kuchunguza uthibitisho na kuyatafiti kwa karibu kielelezo cha ardhi ya zamani.

Hatimaye umri wa unia hauwezi thibitishwa. Hata kama ni miaka 6000 au mabilioni ya miaka, mitazamo yote (na kila kitu cho chote hapo katikati) iko juu ya imani na maneno yasiyohakikishwa. Wale wanaoshikilia mabilioni wanaiamini mitindo kama rediometuriki kuwa wa kuaminika na hakuna kitu kimetokea katika historia ambacho kingegeuza ile hali ya kawaida ya kuoza kwa zile atomi zenye uzito kulingo zingine. Wale wanaoshikilia kuwa miaka 6000 wanaamini kuwa Bibilia iko kweli na kuwa hoja zingine zaeleza “dhahiri” umri wa dunia, kama vile gharika ya mfiringo au uumbaji wa Mungu dunia kwa hali inayoonekana kuipa umri usio wa kweli. Kama mfano, Mungu aliwaumba Adamu na Hawa kama watu wazima. Kama daktari angewatizama Adamu na Hawa katika siku ya uumbaji wao, daktari angekadria umri wao kuwa miaka 20 (au miaka yoyote wangekuwa nayo), kwa kweli wakati Adamu na Hawa walikuwa na umri wa chini ya siku moja. Hali yoyote vile itakavyokuwa, kila wakati kuna sababu nzuri ya kuamini neno la Mungu kuliko maneno ya wale wanasayansi wasio mwamini Mungu na ajenda ya mageuko yasiyoingiliwa.

EnglishRudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Miaka ya kuishi duniani ni mingapi? Dunia iko na miaka mingapi?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries