settings icon
share icon
Swali

Muumini anafaa kujipa mapumziko?

Jibu


Maandiko hayajanukuu lolote juu ya mapumziko. Bali Bibilia iataja jambo la likizo na uwajibikaji,yote yanayohuhusika na kuwaza kama muumini anafaa kujipa mapumziko.

Kwenda mapumziko ni kutenga muda kujipa mapumziko, na Mungu alitoa mwelekeo katika Mwanzo 2: 2-3 alipokamilisha kazi ya uumbaji. Kutoka 20: 8-11 Mungu anawajuza wanadamu kuhusu wajipe likizo dhidi ya ratiba ya kila kujao kila wiki,ilivyopangwa. Toratiya sabato inajirudia kote kwa Agano la Kale. Kwa Agano Jipya, Yesu anadhihirisha umuhimu wa Sabato. Waumini hawamo katika torati ya Sabato,ila maana ya likizo ingali ya kipekee. Yesu alidokeza kuwa Sabato iliwekewa watu,kwa kuwa Mungu alitujalia kama tunuku.(Marko 2:27). Kando na madhara yaliyokuwemo nyakati za Yesu, Sabato ililenga kurudisha watu kwa Mungu. Tukiwa mapumzikoni,tunakiri kuegemea Mungu,kuweka Imani ndani ya kupeana kwake,na kuzichukua katika raha.

Yesu hakujipa mapumziko dhidi ya kazi yake ya huduma ila alitumia muda kujipa raha na akazingatia wafuasi wake. Vile vile, "kwa sababu walikuwako watu wakija,wakienda, hata haikuwapo naasi ya kula," Yesu ananena kwa wafuasi Wake, "Njoni ninyi peke yenu kwa faragha,mahali pasipokuwa na watu mkapumzike kidogo " (Marko 6:31). ).Wazi wazi,Yesu alihitaji nafasi ya pekee,kujipa mapumzisho ni tendo la hekima.

Katika kuratibisha mapumziko mizani ni ya maana sana.Likizo ni hitaji ya mwanadamu,vile vile thamani. Hatutaishi kando ya mifululizo ya kazi na mapumziko,itakavyodhihirika katika maslahi yetu ya kila kujao vile vile kupumzika.Mara hiyo hiyo,kupumzika si lengo kuu la uhai. Sawia jukumu ni ya maana. Waefeso 5: 15-17 inasema, "Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda si kama watu wasio n hekima bali kama watu wenye hekimamkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.Kwa sababu hiyo msiwe wajinga bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana "Musa anaomba,"Basi utujulishe kuzihesabu siku zetu,tujipatie moyo wa hekima"(Zaburi 90:12), na Yesu akanena," Imetupasa kuzianya kazi zake yeye aliyenipeleka...."(Yohana 9: 4). Hivyo madhumuni ya uhai wetu sio mapumziko.Ila inatufaa wakati kando na ratiba za kila kujao ili kujipa raha itokayo kwa Mungu. Mungu hakututengeneza kutenda majukumu ama huduma24/7, siku 365 kwa mwaka.

Ya kutia maanani katika mapumziko pia ni uhifadhaji. Tunafaa kuwa walinzi wema katika muda na katika hela pia.Ni hekima kuwekeza mali yetu katika mambo yanayofaa umuhimu wake.Mapumziko ya maana huwa ya kurudisha hisia zetu na kutufanya kujikimu kwa mambo yetu katika Mungu.Mapumziko vilevile hutukumbusha kuwa tumtegemee Mungu bali si nasi zetu kwa sababu ya uhai wetu.

Ulindaji wa mali ni jambo la maana katika uhusiano na mapumziko. Ni busara kutazama jambo la hela makini kabla ya mapumziko. Je! Tutaweza kuikimu mahitaji wakati tukiwa likizoni? Je mahitaji yako sawia na umuhimu wa mapumziko? Tunaaminika kwa mahitaji mbadala ya hela (kujilipia mademu, kupeana hekaluni, kukimu mahitaji ya wenzetu nk)? Hapa hatusemi kwamba mapumziko yawe ya bwi ya chini.Hakuna makosa katika kutumia mapeni-ikiwamo hela kadhaa-katika kujiurahisha. Kutoa kwa ajili ya uhusiano,mapatano,ama kujipa raha inafaa hiyo thamani. La maana ni kufanya mambo yetu kujulikana na Mungu na kutumia mali zetu vema.

Mapumziko hayajaruhusiwa kwa Muumini kutekelza tu,ila pia ni ya maana. Iwapo mapumziko yanahitaji nini,ni mambo tu ya mda,mali,na mtndo fulani. Likizo huenda ikawa ya kumudu,ama isiyofikiana na matarajio,ilivyo katika Wakolosai 3:17 inasema, "Na kila mfanyalo kwa neno au kwa tendo,anyeni yote katika jina la Bwana Yesu mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye."

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Muumini anafaa kujipa mapumziko?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries