settings icon
share icon
Swali

Je, dhanio la watetezi wa Kikristo ni nini?

Jibu


Dhanio la watetezi wa Kikristo ni mbinu kwa utetezi ambao unanuia kuwasilisha msingi unaofaa kwa imani ya Kikristo na kuilinda dhidi ya pingamizi kwa kufichua dosari yenye mantiki ya mitazamo mingine ya ulimwengu na hivyo kuonyesha kwamba imani ya kuwepo kwa Mungu ya kibiblia ni mtazamo wa ulimwengu pekee ambayo ina maana aminifu ya uhakika.

Dhanio la utetezi halipuuzi matumizi ya ushahidi, lakini ushahidi huo hautumiki kwa njia ya kizamani—hilo ni ombi kwa mamlaka ya sababu huru ya wasioamini. Dhanio la utetezi inashikilia kwamba bila mtazamo wa ulimwengu wa Kikristo hakuna msingi aminifu ambao unasadiki uwezekano wa sababu huru. Wakati mpenda mali anajaribu kukataa Ukirsto kwa kukata rufaa kwa sababu ya kupunguza, kwa kweli, yeye, anakopa kutoka kwa mtazamo wa ulimwengu wa Kikristo, hivyo kutokuwa na msimamo na dhamira yake aliyoandika.

Mfumo wa dhanio la utetezi wa Kikristo unatoa wito kwa Wakristo na wasio Wakristo kushiriki katika tathmini ya ndani ya mitazamo yao husika ya ulimwengu na kwa hivyo kuamua ikiwa ni ya kuaminika kwa undani. Kiini cha dhanio la utetezi wa Kikristo ni jaribio la kuonyesha kwamba mtazamo wa ulimwengu wa wasio Wakristo unamlazimisha kwa hali ya kibinafsi, kutokuwa na akili, na vurugu ya maadili.

Kwa sababu mtazamo wa ulimwengu wa wasioamini ni uongo kamilifu, ni muhimu kuwa na migongano inayoonyeshwa (kwa mfano, kufanya hukumu yenye maadili, lakini hawezi eleza maadili kamili bila mtazamo wa ulimwengu wa Kikristo/wa kidini). Muumini, ndani ya mfumo wa Kikristo, anaweza eleza vitu kama vile busara, mantiki, usawa wa asili, adili, sayansi, na kadhalika, kwa sababu mtazamo wa ulimwengu wa Kikristo unathibitisha uhakika upitayo maumbile.

Kwa ufupi, dhanio la utetezi wa Kikristo hujishughulisha katika ukosoaji wa ndani wa mtazamo wa ulimwengu fulani hili kuonyesha kwamba ni holela, haiendani ndani ya yenyewe, na inakosa masharti kwa epistemolojia. Mwombezi wa dhamira anaweza kwa hivyo kuchukua kanuni iliyotolewa ambayo imeshikiliwa na asiyeamini na kumwoonyesha kwamba ikiwa mtazamo wake wa ulimwengu ni ukweli, Imani hiyo hiyo inaweza kuwa isiyofuatana na/au tupu. Dhanio la utetezi wa Kikristo inatafuta kuthibitisha Ukristo na rejeo la kutowezekana kuwa na kinyume. Kwa maneno mengine, ila mtazamo wa ulimwengu ni kudhaniwa—ikiwa kwa kiwango cha kufahamu au fahamu ndogo—hakuna uwezekano wa kuthibitisha chochote.

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Je, dhanio la watetezi wa Kikristo ni nini?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries