settings icon
share icon
Swali

Biblia inasema nini kuhusu ugaidi?

Jibu


Hakuna maelezo kamili katika Biblia kuhusu ugaidi, wala hata ugaidi tunaojua katika enzi ya sasa. Jaribio la Kweli "ugaidi" ni kuendeza woga, mshtuko, na hofu katika idadi ya watu kutumia mavurugo. Madhumuni ya matendo ya kigaidi ni kulaghai serikali ama tamaduni kwa malengo ya kigaidi.Kwingine maumivu yanatokana na madhara yake yenyewe ama kuadhibu na madhumuni ya kurudishia kwa mabaya.

Katika wakati wa Biblia silaha nyingi zinazotumika kwa vita vya kisasa hazikuwa, kwa mfano mabomu, silaha zenye kemikali, na za mioto. Milipuko ya vita enzi za kitambo zilisheheni kama kinyonga kwa kuwa ilitegemea maneno ye kinywa ama nakala. Kusababisha madhara kwa haraka, na maharibifu hali kadhalika kusambaa kwa maneno mapya-hasa kwa picha na filamu-imefanikisha uharibifu unavyojulikana siku hizi. Uwezo huo haukutambulika enzi za kibiblia, wala madhara ya enzi hizi. Ingawa katika Agano la Kale malengo ya wanaisrael katika mashambuliano ya kivita,nakala ya kibibilia kuhusu jambo hili,na maoni ya mkristo yanaangazia lijulikanavyo kama."ugaidi."

Kwa hakika, wana vita wa kale wangeweza epuka wale hawakuwa na makosa; na wazo la kuacha wanawake na watoto wakati wa vita lilionwa duni pande ya Mashariki ya Karibu. Ingawa Israeli walipewa mashauri dhidi ya mashambulizi na malengo yao katika vita. Washambulizi walipata nafasi ya kwenda maskani kama walipata wachumba,waliogopa,ama hawakuwa tayari kwa mashambuliano. Hakukuwa na nafasi kujitumbukiza vitani (Kumbukumbu la Torati 20: 5-8). Israeli iliamurishwa kuweka Amani na kwa maonyo hayo katika jiji kama vita havijaanza. (Kumbukumbu la Torati 20:10). Mwelekeo haukutoa ruhusa ya Amani,bali wanavita wasioweza kuenda mbio kutoroka kabla ya mashambuliano.

Kama vita vya sasa,Israeli hawakuelekezwa kupigana na wale wasio majeshi. Waliendelea kuambiwa kila kujao kuwa wangeshambulia kutegemea maovu ya hasimu wao,wala sio kwmanufaaa yao ya kibinafsi ya kuonwa wana ubora. (Kumbukumbu la Torati 9: 4-6).

Biblia inatoa hukumu kali kwa umwagaji wa damu bila makosa. Maandiko hukemea mara si moja wanaofanya vita dhidi ya wanyonge na wasio na hatia. (Kumbukumbu la Torati 27:25; Mithali 6: 16-18). Watumizi wa namna za kivita zinzojulikana kama kuchokosa wwasio wapiganaji pia wametolewa hukumu kali. (Yeremia 7: 6, 19: 4, 22: 3, 17). Kwa kipimo kichache,matumizi ya namna za kuepaili kufanya mauaji pia huchukuliwa kama kutoa uhai.(Kumbukumbu la Torati 19:11).

Msimulizi haya yanaangaziwa pia kwenye Agano Jipya, ambako Wakristo wanaelezwa kwamba wasitumie kumwaga damu ili wamlinde Kristo (Mathayo 10:52). Kujaribu kugeuza kwa lazimz ama kufanya serikkali kuathirika ina ubaya pia. (Warumi 13: 1). Hali kadhalika, Wakristo wanafaa kushinda dhambi kwa namna ifaayo. (Warumi 12:21).

Zaidi ya hayo,ugaidi hauendi sambamba na maoni ya kibiblia. Mapinzani ya kigaidi umeangaziwa kwa Agano la Kale na Jipya. Sheria huangazia kote kwa mataifa na watu binafsi. Biblia inakemea vikali ukaidi,ingawa haijaelezea dhana ya ukaidi wa karne 21.

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Biblia inasema nini kuhusu ugaidi?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries