settings icon
share icon
Swali

Biblia inayapi kuhusu kujithamini?

Jibu


Kuna vipengele katika Biblia vinavyoelezea vile anadokeza kuhusu kujithamani na umuhimu wetu kwake. Mwanzo 1: 26-27 inaukuu tumetengenezwa kwa mfano wake,sura ya Mungu. Zaburi 139: 13-16 inadokeza tumeumbwa kwa jinsi ya ajabu ya kutisha,pia siku zilizoamriwa kabla hazijawa bado kwa nakala ya Mungu kabla ya kuletwa duniani,kuonyesha jinsi Mungu amerathibisha maisha yetu. Waefeso 1: 4 inakiri kuwa Mungu alipanga wana wake mbele ya kutunga ulimwengu,katikaWaefeso 1: 13-14 tunajuzwa jinsi tulivyo mali ya Mungu, waliochaguliwa kwa lengo la kumtukuza,na tuna miliki juu mbinguni kama wana wake mbinguni.

Makinika na taarifa iliyotangulia mwanzo: "yamefanywa," "tumeumbwa kwa jinsi ya ajabu ya kutisha," "imeandikwa," "Mungu alichagua wana Wake," "sisi ni milki teule ya Mungu," na "tuna miliki "Vifungu hivi vyote vinafanana kwa kiwango: ni vitu tulivyotendewa ama kufanywa na Mungu. Haya si matendo tuliyofanya,hatukufaa wala kupata.Sisini wafaidi tu wa"katika ulimwengu war oho,ndani yake Kristo" (Waefeso 1: 3).Tunafaa basi kufahamu kuwa umuhimu wetu si wa "ubinafsi"ila imetolewa na Mungu.Kwa sababu ya kifo cha Mtoto wake,tulifanywa wa maana isiyo kifani kwa maana ya thamani aliyotutolea.

Biblia inatudokezea kuwa "kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu,tulipokuwa tungali wenye dhambi" (Warumi 5: 8).Kweli,"Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa na dhambi zenu" (Waefeso 2: 1). Thamani gani ipatikanapo kwa vitu vyafu? Hamna. Mungu alitupa rehema yake. (2 Wakorintho 5:21) si kumaanisha tulikuwa wema,bali tusiowakufaa,tusioridhisha,na tusioweza kujikimu kwa njia zozote.Ila na kimuijiza,alituthamini kadhili ya tulivyo. (Yohana 3:16), na kwa maana alitenda,tuna maana isiyo kifani.

Yohana 1:12 inatujuza wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu ndio wale walioaminia jina lake. Kwanza Yohana 1: 9 inanakiri tukiziungama dhambi zetuYeye ni mwaminifu atatuondolea dhambi zetu na kutusaisha na udhalimu wote. Tukizisisitiza tupendavyo na Mungu na thamani aliyotroa ili tuokolewa na kujiona jinsi atuonavyo Mungu,na hivyo kutufanya kufahamu thamani yetu kama wana waMungu aliye juu sana.

Thamini yetu kwa wingi huwa ni vile tuambiwavyo na wanadamu kutuhusu.Yesu Kristo ndiye tu awezaye kutupa thmana,kwa maana alitutolea uhai wake msalabani,hivyo tunafaa.

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Biblia inayapi kuhusu kujithamini?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries