settings icon
share icon
Swali

Biblia inadokeza vipi hamaki?

Jibu


Kunayo mifano kadhaa katika Biblia inayotokana na kushindwa na jinsi ya kumsifu Mungu katika hamaki yetu. Hasira inaweza kuwa mshahara wa makosa au sio,na kwa maana tunakaa ndani ya dunia iliyofeli,makosa yamekuwa kama mtindo wetu.(Zaburi 90:10). Zaburi zimejaa hamaki ya Daudi amwagayo hasira ya mtima wake.Ilivyo na Daudi, huwa tunatafakari kuwa Mungu ametutupa katika hali zetu za hamaki inayoletwa na wanaopinga na kutukataa. "Nifanye mashauri nafsini mwangu,nikihuzunika moyoni mchana kutwa?Hata lini adui yangu atukuke juu yangu? "(Zaburi 13: 2). Na Mungu alivyomwaminifu milele,na Daudi anavyofika tamati, kuamani kwetu Mungu hakujafanya kutingika. "Nami nimezitumainia fadhili zako moyo wangu na uufurahie wokovu wako.Naam nimwimbie Bwana, kwa kuwa amenitendea kwa ukarimu. (Zaburi 13: 5-6).

Zaburi ya 16, Daudi anafurahia na nafsi yake kam mtumwa wa Mungu mmoja, Mungu wa ukweli, kujumuisha na "urithi mzuri" (mstari wa 6), na unafurahi,utukufu na kutumaini (mstari wa 9), huzuni zao zitaongezeka wambadilio Mungu kwa mwingine (mstari wa 4). Daudi pia alipojitoa ndani ya nehema za Mungu kwa sababu ya dhambi huzuni iliongezeka na ilimfaa kuvumilia. "Maana maisha yangu yamekoma kwa huzuni na miaka yangu kwa kuugua nguvu zangu zinatetemeka kwa uovu wangu."(Zaburi 31:10). Zaburi ifuatayo, Daudi anapendezwa na mapenzi ya kuwawia radhi wanaomrudia Mungu katika toba. Hamaki ya Daudi inaongezeka kuwa rehema tele: "Heri aliyesamehewa na kusitiriwa makosa yake,Heri Bwana asiyemhesabia upotovu ambaye rohoni hamna hila."(Zaburi 32: 1-2). Zaburi 32:10, Daudi anasimulia dhana ya hamaki na ghadhabu kwa maana ya makosa: "Naye mtu mwovu ana mapigo mengi bali amtumainiye Bwana fadhili zitamzunguka."

Mafunzo yaMwana Mpotevu kwa Luka 15: 11-24 pia hutudhihirishia namna ya kupambana na hamaki iletwayo na makosa. Njia ya msamaha ni kurekebishwa kwa makosa,kukiri kwa Mungu na watu wanaoguzwa na makosa,tamanio na kujaribu kurekebisha kutoka kwa makosa na kuandama utukufu.Makosa yetu yanafaa kuongoza kugeuka haraka kwenda kwa toba. (2 Wakorintho 7:10).

Hamaki si zote huletwa na makosa tufanyayo,kwa kweli. Mara nyingine kuwa katika dunia utokanao na madhara kutoka vitu vilivyoanguka. Ayubu ndiye tu aliyapitia hasira na hamaki kwa makosa yasiyo yake. Utajiri wake na watoto kumi wote walichukuliwa kutoka kwake wakati mmoja, wakamchaa ameketi juu ya chungu la majivu ambalo limefunikwa kwa vidonda na vidonda (Ayubu 1-3). Ili kuongeza maumivu yake, "marafiki" wake watatu walikuja kumfariji kwa kumshtaki kuwa ametenda dhambi dhidi ya Mungu. Kwa nini, walidhani, je! Mtu angejikuta katika hali kama hiyo? Ilimradi walivyoonyeshwa Ayubu na wenzake,Mungu huruhusu ama kuwachilia hamaki maishani mwetu kwa nia ya utukufu wake.Mara nyingi,Mungu hajaweka wazi maana yake kwetu sisi.(Ayubu 38-42).

Mwandishi wa-zaburi anatujuza jinsi, "Mungu, njia yake ni kamilifu" (Zaburi 18:30). Kama mipango ya Mungu ni "kamilifu," ndivyo tutaamini kuwa atendayo na anachoruhusu pia ni kweli. Tunaweza dhani kuwa si rahisi,bali aikiriacho Mungu si sawa na sisi. Ni wazi kuwa hatuwezi ngoja kujuzwa mipango yake yote,tunavyoelezewa, "Kaana mawazo yangu sio mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu, asema Bwana. Kwa maana kama vile mbinguni zilivyo juu sana kuliko nchi,kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu na mawazo yangu kuliko mawazo yenu "(Isaya 55: 8-9). Mara mingi matendo ya Mungu kamilifu hamaki ikiwa mojawapo na pia taharuki kwa wanawe. Basi tufurahie kwa maana hatujapewa majaribu Zaidi ya uwezo tulionao wa kuzidhibiti (1 Wakorintho 10:13) kisha kutenda mambo kwa sababu ya wamtukuzao,kutuinua kama Mwana Wake (Warumi 8: 28-29).

Taabu nyingi haijaonekana kubwa Zaidi ya Yesu, "mtu wa huzuni,ajuaye sikitiko" (Isaya 53: 3). Maisha yake yalifululika na matatizo kutoka ujana hadi kifo.Utoto wake wote yalikuwa yamehatarishwa na Herode, na walezi wake walimtorosha na kuepea Misri (Mathayo 2: 19-20).Huduma yake ilihusishwa na hamakiiliyotokana namagumu kutokana na kukosa Imani kwa mitima ya watu,kupingwa kwa wakuu,na pia ya wafuasi wake,kujumuisha mateso ya ibilis. Kabla ya kusulubiwa kwake usiku huo, "huzuni nyingi kiasi cha kufa"alivyowaza hasira na rehema ya Mungu itakayokuja juu yake kama alivyokufa kwa sababu ya wanadamu. (Mathayo 26:38).Dhiki yake ikazidi sana hari yake ikawa kama matone ya damu yakidondoka. (Luka 22:44). Hamaki nyingi ya uhai wake ulikuwa pale aliposulubiwa Babaye akatoa uwepo wake kwake na pale Yesu akatoa yowe kwa maumivu mingi "mbona umeniacha?" (Mathayo 27:46).kweli maumivu aliyopitia Yesu hakuna ya mtu yeyote kulinganishwa na wake.

Jinsi Yesu alivyopokezwa upande wa kulia wa Baba yake alipomalizana na machungu,basi tuna hakikisho kuwa baada ya magumu yote na wakati mugumu, Mungu hugeuza majanga yote na kutufanya kama Kristo.(Warumi 5: 3-5; 8:28 -29; Yakobo 1: 2-4; Waebrania 12:10). Yuko nasi wakati wa shida zetu na rehema kwa maumivu yetu. (Waebrania 4:15). Tunaweza kumtumainia na kutegemea mapenzi yake. (1 Petro 5: 7). Tunaweza kosa kuelewa,pia tunaweza pata faraja mikononi mwake na kuelekeza hamaki zetu kwake. (Zaburi 58: 6). Pia tunayo familia ya Kristo ambapo tutatua shida zetu (Wagalatia 6: 2; Warumi 12:15). Hatufai kutoa nafsi zetu kutoka kwa machungu,ila kulizana na kutiana moyo na wenzetu. (Waebrania 10: 24-26; Waefeso 5: 19-20). Mnamo maisha pamoja na watenda maovu duniani si kamili,tunaahamu fika Mungu ni mwaminifu na kuwa Kristo arejeapo, hamaki itageuzwa kuwa faraja (Isaya 35:10). Ila kwa sasa,tunabadili hamaki yetu kumsifu Mungu (1 Petro 1: 6-7) na kutulizwa ndani ya rehema na faraja katika Bwana Mungu.

EnglishRudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Biblia inadokeza vipi hamaki?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries