settings icon
share icon
Swali

Mtazamo wa Kikristo kuhusu akili ni upi?

Jibu


Bibilia kwa nguvu inakataa, kuitazama mizimu, kuwasiliana na wafu, na mizungu na akili (Mambo ya Walawi 20:27; Kumbukumbu La Torati 18:10-13). Buruji, vicheza ramli, watazamaji mizimu, watabiri mambo mazuri, waichunguzao mitende, na mkusanyiko wa kuwasiliana na pepo yote yako katika kikundu hiki. Matendo haya yamewekwa katika misingi ya kuwa kuna miungu, roho na wenda zao wanatupa mwongozo na ushauri. “Miungu” hii au “roho” hisi ni mapepo (2 Wakorintho 11:14-15). Bibilia haitupi sababu yo yote ya kuamini kuwa waliokufa wanaweza wasiliana nazi. Kama walikuwa waumini, wako mbinguni wakifurahia mahali pazuri kabisa pasipoweza tafarika wakiwa na ushirika na Mungu mpendwa. Kama hakuwa waumini, wako jahannamu, wakitezeka kwa mto usiozimika kwa sababu ya kukataa upendo wa Mungu na wakaasi kinyume naye.

Kwa hivyo, ikiwa wapendwa wetu hawawezi kutufikia, ni namna gani wazungumzao na wafu, maroho na akili zapata habari kamili kama hiyo? Kumekuwa na ufunusi wa akili mpaya. Imethibitika kuwa akili inaweza pata wingi wa habari juu ya mtu kupitia njia za kawaida. Wakati mwingine kwa kutumia namba yake ya rununu, kupitia kwa kumtafuta kwa mitandao, akili yaweza pata majina, viwaziliano, terehe ya kuzaliwa, siku ya kuoa, watu wa jamii na kadhalika. Ingawa haiwezi kataliwa kuwa akili wakti mwingine inajua mambo yale hayawezekani kwao kujua. Wanatoa habiri hii wapi? Jibu ni kutoka kwa Shetani na mapepo yake. “Wala si ajabu maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijegeuza wawe mfano wa watumish wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawaswa na kazi zao” (2 Wakorintho 11:14-15). Matendo Ya Mitume 16:16-18 yaelezea anayetabiri mambo mazuri ambaye aliweza kutabiri mambo ya kesho hadi Mtume Paulo aliikemea pepo kumtoka ndani yake.

Shetani anajifanya kuwa mkarimu na mzaidizi. Anajaribu kuonekana kama kitu kizuri. Shetani na mapepo wake wanaipa akili habari kuhusu mtu ili kumpata huyo mtu ashikanishwe na maroho, kitu ambacho Mungu anakikataa. Inaonekana kutokuwa na habari mwanzo, lakini karibuni watu watajipata wenyewe kufutwa na akili na bila kungoja kumruhusu Shetani kutawala na kuyaharibu maisha yao. Petero alitangaza, “Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze” (1 Petero 5:8). Katika hali zingine, akili yenyewe yaamua, bila kujua chanzo cha habari inayoipokea. Vile hali itakavyo kuwa, na kule mahali itatoa habari, hakuna kitu kimehusiana na roho, uchawi, au utazamaji mizimu ni njia ya Mungu ya kugundua habari. Ni namna gani Mungu anatutaka tutambue penzi lake kwa maisha yetu? Mpango wa Mungu na rahisi, pia ni wa nguvu na wamaana: isome Bibilia (2 Timotheo 3:16-17) na uombe hekima (Yakobo 1:5).

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Mtazamo wa Kikristo kuhusu akili ni upi?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries