settings icon
share icon
Swali

Amri 613 katika Sheria ya Agano la Kale nig ani?

Jibu


Idadi 613 mara nyingi hutajwa kama hesabu ya amri zilizoko katika Sheria ya Agano la Kale; ingawa hakuna aya katika Biblia ambayo inatupa idadi 613 kama hesabu kamili. Kunazo hesabu vile vile. Hakuna kubaliano dhabiti kwa Wayahdui au Wakristo kwamba kuna amri 613 zilizopeanwa na Mungu kupitia kwa Musa.

Katika hesabu yoyote ya idadi ya amri katika Sheria ya Musa, utata hujibuka. Kwa mfano, ikiwa amri inatokea katika Kutoka na kurudiwa katika Kumbukumbu, je! hiyo inahesabiwa kama amri moja au mbili? Zaidi ya hayo, baadhi ya amri zineweza eleweka kama ufafanuzi wa amri zingine badala ya kuwa amri zingine zaidi.

Kunao mjadala kuhusu ni nani aliyekuwa wa kwanza kuja na 613 kama idadi ya amri. Talimudi inaelekeza kwa mwalimu Simlai katika karne ya 3 KK kama mwanzilishi. Ingawa, hamna kumbukumbu ya Mwalimu Simlai akiorodhesha amri zote 613. Mgagwanyiko wa kawaida uliokubaliwa ulifanywa na Maimonides katika karne ya 12 KK. Maimonides zaidi aligawanya amri 613 na kuwa na amri zile za hakika "fanya hili" zote zikiwa kwa jumla 248, na amri zile za kinyume, "usifanye hili" na zote zikuwa 365.

Tukizungumza kibiblia, ikiwa hesabu ya 613 ii sahihi au la sio jambo la muhimu sana. Kusudi la Sheria lilikuwa kutuelekeza kwa Kristo. Wagalatia 3:24 inasema, "Hivyo, sheria ilikuwa kiongozi kutufikisha kwa Kristo, ili tupate kuhesabiwa haki kwa imani." Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kutii amri zote kikamilifu, haijalishi ni nyingi kiazi gani au chache (Mhubiri 7:20; Warumi 3:23). Kwa kweli, hakuna mtu yeyote anayeweza kutii Amri Kumi kikamilifu. Sheria inadhihirisha hali yetu ya dhambi (Warumi 7: 7). Mungu alitoa Sheria ili kuifafanua dhambi na kuonyesha hitaji letu la Mwokozi. Yesu ndiye pekee ambaye ameitii Sheria kikamilifu. Kupitia kwa maisha Yake, kifo, na ufufuo, Alitimiza maagizo yote ya haki ya Mungu (Mathayo 5: 17-18

Kwa habari zaidi jinsi imani katika Yesu inatuokoa kutoka hukumu ya Sheria, tafadhali soma Makala ya "Je! inamaanisha nini kuwa Yesu anaokoa?"

Haba chini kuna orodha 613 ya amri zinazopatikana katika Sheria ya Agano la Kale. Kumbuka kuwa baadhi ya aya zina zaidi ya amri moja.
1. Mwanzo 1:28
2. Mwanzo 32:32
3. Kutoka 12:2
4. Kutoka 12:6
5. Kutoka 12:8
6. Kutoka 12:9
7. Kutoka 12:10
8. Kutoka 12:15
9. Kutoka 12:18
10. Kutoka 12:19
11. Kutoka 12:20
12. Kutoka 12:43
13. Kutoka 12:45
14. Kutoka 12:46
15. Kutoka 12:46
16. Kutoka 12:48
17. Kutoka 12:48
18. Kutoka 13:3
19. Kutoka 13:7
20. Kutoka 13:8
21. Kutoka 13:12
22. Kutoka 13:13
23. Kutoka 13:13
24. Kutoka 16:29
25. Kutoka 20:3
26. Kutoka 20:4
27. Kutoka 20:5
28. Kutoka 20:5
29. Kutoka 20:7
30. Kutoka 20:8
31. Kutoka 20:10
32. Kutoka 20:12
33. Kutoka 20:13
34. Kutoka 20:14
35. Kutoka 20:15
36. Kutoka 20:16
37. Kutoka 20:17
38. Kutoka 20:24
39. Kutoka 20:26
40. Kutoka 20:23
41. Kutoka 21:2
42. Kutoka 21:8
43. Kutoka 21:8
44. Kutoka 21:8
45. Kutoka 21:10
46. Kutoka 21:15
47. Kutoka 21:17
48. Kutoka 21:18
49. Kutoka 21:20
50. Kutoka 21:28
51. Kutoka 21:28
52. Kutoka 21:34
53. Kutoka 21:36
54. Kutoka 22:4
55. Kutoka 22:5
56. Kutoka 22:6
57. Kutoka 22:8
58. Kutoka 22:9
59. Kutoka 22:13
60. Kutoka 22:16–17
61. Kutoka 22:18
62. Kutoka 22:21
63. Kutoka 22:21
64. Kutoka 22:22
65. Kutoka 22:25
66. Kutoka 22:25
67. Kutoka 22:25
68. Kutoka 22:28
69. Kutoka 22:28
70. Kutoka 22:29
71. Kutoka 22:29
72. Kutoka 22:30
73. Kutoka 23:1
74. Kutoka 23:1
75. Kutoka 23:2
76. Kutoka 23:2
77. Kutoka 23:3
78. Kutoka 23:5
79. Kutoka 23:6
80. Kutoka 23:7
81. Kutoka 23:8
82. Kutoka 23:11
83. Kutoka 23:12
84. Kutoka 23:13
85. Kutoka 23:13
86. Kutoka 23:14
87. Kutoka 23:18
88. Kutoka 23:18
89. Kutoka 23:19
90. Kutoka 23:19
91. Kutoka 23:25
92. Kutoka 23:33
93. Kutoka 25:8
94. Kutoka 25:15
95. Kutoka 25:30
96. Kutoka 27:21
97. Kutoka 28:2
98. Kutoka 28:28
99. Kutoka 28:32
100. Kutoka 29:33
101. Kutoka 29:33
102. Kutoka 30:7
103. Kutoka 30:9
104. Kutoka 30:13
105. Kutoka 30:19
106. Kutoka 30:31
107. Kutoka 30:32
108. Kutoka 30:32
109. Kutoka 30:37
110. Kutoka 34:21
111. Kutoka 34:26
112. Kutoka 35:3
113. Walawi 1:3
114. Walawi 2:1
115. Walawi 2:11
116. Walawi 2:13
117. Walawi 2:13
118. Walawi 3:17
119. Walawi 3:17
120. Walawi 4:13–14
121. Walawi 4:27–28
122. Walawi 5:1
123. Walawi 5:7-11
124. Walawi 5:8
125. Walawi 5:11
126. Walawi 5:11
127. Walawi 5:16
128. Walawi 5:17–18
129. Walawi 5:23
130. Walawi 5:25
131. Walawi 6:10
132. Walawi 6:13
133. Walawi 6:16
134. Walawi 6:18
135. Walawi 6:23
136. Walawi 6:3
137. Walawi 6:5
138. Walawi 6:5
139. Walawi 6:9
140. Walawi 7:1
141. Walawi 7:11
142. Walawi 7:17
143. Walawi 7:18
144. Walawi 7:19
145. Walawi 7:19
146. Walawi 7:20
147. Walawi 10:6
148. Walawi 10:6
149. Walawi 10:7
150. Walawi 10:9
151. Walawi 10:19
152. Walawi 11:2
153. Walawi 11:4
154. Walawi 11:9
155. Walawi 11:11
156. Walawi 11:13
157. Walawi 11:21
158. Walawi 11:29
159. Walawi 11:34
160. Walawi 11:39
161. Walawi 11:41
162. Walawi 11:42
163. Walawi 11:43
164. Walawi 11:44
165. Walawi 12:2
166. Walawi 12:3
167. Walawi 12:6
168. Walawi 13:12
169. Walawi 13:33
170. Walawi 13:45
171. Walawi 13:47
172. Walawi 14:2
173. Walawi 14:9
174. Walawi 14:10
175. Walawi 14:35
176. Walawi 15:3
177. Walawi 15:13–14
178. Walawi 15:16
179. Walawi 15:16
180. Walawi 15:19
181. Walawi 15:25
182. Walawi 15:28–29
183. Walawi 16:2
184. Walawi 16:3
185. Walawi 16:29
186. Walawi 17:4
187. Walawi 17:13
188. Walawi 18:6
189. Walawi 18:7
190. Walawi 18:7
191. Walawi 18:8
192. Walawi 18:9
193. Walawi 18:10
194. Walawi 18:10
195. Walawi 18:10
196. Walawi 18:11
197. Walawi 18:12
198. Walawi 18:13
199. Walawi 18:14
200. Walawi 18:14
201. Walawi 18:15
202. Walawi 18:16
203. Walawi 18:17
204. Walawi 18:17
205. Walawi 18:17
206. Walawi 18:18
207. Walawi 18:19
208. Walawi 18:20
209. Walawi 18:21
210. Walawi 18:22
211. Walawi 18:23
212. Walawi 18:23
213. Walawi 19:3
214. Walawi 19:4
215. Walawi 19:4
216. Walawi 19:8
217. Walawi 19:9
218. Walawi 19:9
219. Walawi 19:9
220. Walawi 19:10
221. Walawi 19:10
222. Walawi 19:10
223. Walawi 19:10
224. Walawi 19:10
225. Walawi 19:11
226. Walawi 19:11
227. Walawi 19:11
228. Walawi 19:12
229. Walawi 19:13
230. Walawi 19:13
231. Walawi 19:13
232. Walawi 19:14
233. Walawi 19:14
234. Walawi 19:15
235. Walawi 19:15
236. Walawi 19:15
237. Walawi 19:15
238. Walawi 19:16
239. Walawi 19:16
240. Walawi 19:17
241. Walawi 19:17
242. Walawi 19:17
243. Walawi 19:18
244. Walawi 19:18
245. Walawi 19:18
246. Walawi 19:19
247. Walawi 19:19
248. Walawi 19:23
249. Walawi 19:24
250. Walawi 19:26
251. Walawi 19:26
252. Walawi 19:27
253. Walawi 19:27
254. Walawi 19:28
255. Walawi 19:30
256. Walawi 19:31
257. Walawi 19:31
258. Walawi 19:32
259. Walawi 19:35
260. Walawi 19:36
261. Walawi 20:10
262. Walawi 20:14
263. Walawi 20:23
264. Walawi 21:1
265. Walawi 21:6
266. Walawi 21:7
267. Walawi 21:7
268. Walawi 21:7
269. Walawi 21:8
270. Walawi 21:11
271. Walawi 21:11
272. Walawi 21:13
273. Walawi 21:14
274. Walawi 21:14
275. Walawi 21:17
276. Walawi 21:18
277. Walawi 21:23
278. Walawi 22:2
279. Walawi 22:4
280. Walawi 22:10
281. Walawi 22:10
282. Walawi 22:12
283. Walawi 22:15
284. Walawi 22:20
285. Walawi 22:21
286. Walawi 22:21
287. Walawi 22:22
288. Walawi 22:22
289. Walawi 22:24
290. Walawi 22:24
291. Walawi 22:25
292. Walawi 22:27
293. Walawi 22:28
294. Walawi 22:30
295. Walawi 22:32
296. Walawi 22:32
297. Walawi 23:8
298. Walawi 23:8
299. Walawi 23:8
300. Walawi 23:8
301. Walawi 23:10
302. Walawi 23:14
303. Walawi 23:14
304. Walawi 23:14
305. Walawi 23:15
306. Walawi 23:18
307. Walawi 23:21
308. Walawi 23:21
309. Walawi 23:24
310. Walawi 23:25
311. Walawi 23:29
312. Walawi 23:31
313. Walawi 23:32
314. Walawi 23:35
315. Walawi 23:35
316. Walawi 23:36
317. Walawi 23:36
318. Walawi 23:40
319. Walawi 23:42
320. Walawi 25:4
321. Walawi 25:4
322. Walawi 25:5
323. Walawi 25:5
324. Walawi 25:8
325. Walawi 25:9
326. Walawi 25:10
327. Walawi 25:11
328. Walawi 25:11
329. Walawi 25:11
330. Walawi 25:14
331. Walawi 25:14
332. Walawi 25:17
333. Walawi 25:23
334. Walawi 25:24
335. Walawi 25:29
336. Walawi 25:34
337. Walawi 25:37
338. Walawi 25:39
339. Walawi 25:42
340. Walawi 25:43
341. Walawi 25:46
342. Walawi 25:53
343. Walawi 26:1
344. Walawi 27:2
345. Walawi 27:10
346. Walawi 27:10
347. Walawi 27:12–13
348. Walawi 27:14
349. Walawi 27:16
350. Walawi 27:26
351. Walawi 27:28
352. Walawi 27:28
353. Walawi 27:28
354. Walawi 27:32
355. Walawi 27:33
356. Hesabu 5:2
357. Hesabu 5:3
358. Hesabu 5:7
359. Hesabu 5:15
360. Hesabu 5:15
361. Hesabu 5:30
362. Hesabu 6:3
363. Hesabu 6:3
364. Hesabu 6:3
365. Hesabu 6:4
366. Hesabu 6:4
367. Hesabu 6:5
368. Hesabu 6:5
369. Hesabu 6:6
370. Hesabu 6:7
371. Hesabu 6:18
372. Hesabu 6:23
373. Hesabu 7:9
374. Hesabu 9:11
375. Hesabu 9:11
376. Hesabu 9:12
377. Hesabu 9:12
378. Hesabu 10:9
379. Hesabu 15:20
380. Hesabu 15:38
381. Hesabu 15:39
382. Hesabu 18:3
383. Hesabu 18:3
384. Hesabu 18:4
385. Hesabu 18:5
386. Hesabu 18:15
387. Hesabu 18:17
388. Hesabu 18:23
389. Hesabu 18:24
390. Hesabu 18:26
391. Hesabu 19:14
392. Hesabu 19:21
393. Hesabu 19:9
394. Hesabu 27:8
395. Hesabu 28:3
396. Hesabu 28:9–10
397. Hesabu 28:11–15
398. Hesabu 28:19
399. Hesabu 28:26
400. Hesabu 29:1
401. Hesabu 29:2
402. Hesabu 29:8
403. Hesabu 29:13
404. Hesabu 29:35
405. Hesabu 30:2
406. Hesabu 30:2
407. Hesabu 35:2
408. Hesabu 35:12
409. Hesabu 35:12
410. Hesabu 35:25
411. Hesabu 35:30
412. Hesabu 35:31
413. Hesabu 35:32
414. Kumbukumbu 1:17
415. Kumbukumbu 1:17
416. Kumbukumbu 5:18–22
417. Kumbukumbu 6:4
418. Kumbukumbu 6:5
419. Kumbukumbu 6:7
420. Kumbukumbu 6:7
421. Kumbukumbu 6:8
422. Kumbukumbu 6:8
423. Kumbukumbu 6:9
424. Kumbukumbu 6:16
425. Kumbukumbu 7:2
426. Kumbukumbu 7:2
427. Kumbukumbu 7:3
428. Kumbukumbu 7:25
429. Kumbukumbu 7:26
430. Kumbukumbu 8:10
431. Kumbukumbu 10:19
432. Kumbukumbu 10:20
433. Kumbukumbu 10:20
434. Kumbukumbu 10:20
435. Kumbukumbu 12:2
436. Kumbukumbu 12:4
437. Kumbukumbu 12:5–6
438. Kumbukumbu 12:11
439. Kumbukumbu 12:13
440. Kumbukumbu 12:15
441. Kumbukumbu 12:17
442. Kumbukumbu 12:17
443. Kumbukumbu 12:17
444. Kumbukumbu 12:17
445. Kumbukumbu 12:17
446. Kumbukumbu 12:17
447. Kumbukumbu 12:17
448. Kumbukumbu 12:17
449. Kumbukumbu 12:19
450. Kumbukumbu 12:21
451. Kumbukumbu 12:23
452. Kumbukumbu 12:26
453. Kumbukumbu 12:32
454. Kumbukumbu 12:32
455. Kumbukumbu 13:4
456. Kumbukumbu 13:8
457. Kumbukumbu 13:8
458. Kumbukumbu 13:8
459. Kumbukumbu 13:8
460. Kumbukumbu 13:8
461. Kumbukumbu 13:11
462. Kumbukumbu 13:15
463. Kumbukumbu 13:16
464. Kumbukumbu 13:16
465. Kumbukumbu 13:17
466. Kumbukumbu 14:1
467. Kumbukumbu 14:1
468. Kumbukumbu 14:3
469. Kumbukumbu 14:11
470. Kumbukumbu 14:19
471. Kumbukumbu 14:21
472. Kumbukumbu 14:22
473. Kumbukumbu 14:28
474. Kumbukumbu 15:2
475. Kumbukumbu 15:3
476. Kumbukumbu 15:3
477. Kumbukumbu 15:7
478. Kumbukumbu 15:9
479. Kumbukumbu 15:11
480. Kumbukumbu 15:13
481. Kumbukumbu 15:14
482. Kumbukumbu 15:19
483. Kumbukumbu 15:19
484. Kumbukumbu 16:3
485. Kumbukumbu 16:4
486. Kumbukumbu 16:14
487. Kumbukumbu 16:16
488. Kumbukumbu 16:16
489. Kumbukumbu 16:18
490. Kumbukumbu 16:21
491. Kumbukumbu 16:22
492. Kumbukumbu 17:1
493. Kumbukumbu 17:11
494. Kumbukumbu 17:11
495. Kumbukumbu 17:15
496. Kumbukumbu 17:15
497. Kumbukumbu 17:16
498. Kumbukumbu 17:16
499. Kumbukumbu 17:17
500. Kumbukumbu 17:17
501. Kumbukumbu 17:18
502. Kumbukumbu 18:1
503. Kumbukumbu 18:2
504. Kumbukumbu 18:3
505. Kumbukumbu 18:4
506. Kumbukumbu 18:4
507. Kumbukumbu 18:6–8
508. Kumbukumbu 18:10
509. Kumbukumbu 18:10
510. Kumbukumbu 18:11
511. Kumbukumbu 18:11
512. Kumbukumbu 18:11
513. Kumbukumbu 18:11
514. Kumbukumbu 18:15
515. Kumbukumbu 18:20
516. Kumbukumbu 18:20
517. Kumbukumbu 18:22
518. Kumbukumbu 19:3
519. Kumbukumbu 19:13
520. Kumbukumbu 19:14
521. Kumbukumbu 19:15
522. Kumbukumbu 19:19
523. Kumbukumbu 20:2
524. Kumbukumbu 20:3
525. Kumbukumbu 20:10
526. Kumbukumbu 20:16
527. Kumbukumbu 20:17
528. Kumbukumbu 20:19
529. Kumbukumbu 21:4
530. Kumbukumbu 21:4
531. Kumbukumbu 21:11
532. Kumbukumbu 21:14
533. Kumbukumbu 21:14
534. Kumbukumbu 21:20
535. Kumbukumbu 21:22
536. Kumbukumbu 21:23
537. Kumbukumbu 21:23
538. Kumbukumbu 22:1
539. Kumbukumbu 22:3
540. Kumbukumbu 22:4
541. Kumbukumbu 22:4
542. Kumbukumbu 22:5
543. Kumbukumbu 22:5
544. Kumbukumbu 22:6
545. Kumbukumbu 22:7
546. Kumbukumbu 22:8
547. Kumbukumbu 22:8
548. Kumbukumbu 22:9
549. Kumbukumbu 22:9
550. Kumbukumbu 22:10
551. Kumbukumbu 22:11
552. Kumbukumbu 22:19
553. Kumbukumbu 22:19
554. Kumbukumbu 22:24
555. Kumbukumbu 22:26
556. Kumbukumbu 22:29
557. Kumbukumbu 22:29
558. Kumbukumbu 23:1
559. Kumbukumbu 23:2
560. Kumbukumbu 23:3
561. Kumbukumbu 23:6
562. Kumbukumbu 23:7–8
563. Kumbukumbu 23:7-8
564. Kumbukumbu 23:10
565. Kumbukumbu 23:12
566. Kumbukumbu 23:13
567. Kumbukumbu 23:15
568. Kumbukumbu 23:16
569. Kumbukumbu 23:17
570. Kumbukumbu 23:18
571. Kumbukumbu 23:19
572. Kumbukumbu 23:20
573. Kumbukumbu 23:21
574. Kumbukumbu 23:23
575. Kumbukumbu 23:24
576. Kumbukumbu 23:24
577. Kumbukumbu 23:25
578. Kumbukumbu 24:1
579. Kumbukumbu 24:1
580. Kumbukumbu 24:4
581. Kumbukumbu 24:5
582. Kumbukumbu 24:5
583. Kumbukumbu 24:6
584. Kumbukumbu 24:8
585. Kumbukumbu 24:10
586. Kumbukumbu 24:12
587. Kumbukumbu 24:13
588. Kumbukumbu 24:15
589. Kumbukumbu 24:16
590. Kumbukumbu 24:17
591. Kumbukumbu 24:17
592. Kumbukumbu 24:19
593. Kumbukumbu 24:19
594. Kumbukumbu 25:2
595. Kumbukumbu 25:3
596. Kumbukumbu 25:4
597. Kumbukumbu 25:5
598. Kumbukumbu 25:5
599. Kumbukumbu 25:9
600. Kumbukumbu 25:12
601. Kumbukumbu 25:13
602. Kumbukumbu 25:17
603. Kumbukumbu 25:19
604. Kumbukumbu 25:19
605. Kumbukumbu 26:5
606. Kumbukumbu 26:13
607. Kumbukumbu 26:14
608. Kumbukumbu 26:14
609. Kumbukumbu 26:14
610. Kumbukumbu 28:9
611. Kumbukumbu 31:12
612. Kumbukumbu 31:19
613. Kumbukumbu 32:38

EnglishRudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Amri 613 katika Sheria ya Agano la Kale nig ani?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries