settings icon
share icon
Swali

Je! Inamaanisha nini utakazo mpadala?

Jibu


Utakazo mpadala watuelekeza kwa Yesu Kristo aliyekufa badala ya wenyedhambi. Maandiko yatufunza kwamba wote ni watenda dhambi (Warumi 3:9-18, 23). Adhabu ya hali yetu ya dhambi ni mauti. Warumi 6:23 yasoma, “Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karma ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.”

Hiyo aya yatufunza mambo mengi; Bila Yesu tutaenda kukufa na kuishi maisha yetu milele jehanamu kama mshahara wa dhambi zetu. Kristo. Huu ndio ubadilisho wa utakazo.

Yesu Krisot alikufa kwa ajili yetu wakati alisulubiwa msalabani. Ni sisi tulistahili kuangikwa msalabani ili tufe kwa sababu ni sisi tunaishi maisha ya dhambi. Lakini Krisot aliichukua adhabu yeye mwenyewe badala yetu. Yeye alibadilishwa badala yetu na akayabeba Kifo katika Bibilia chamaanisha “kutengwa.” Kila mtu atakufa, lakini wengine wataishi mbinguni na Mungu milele, ile hali wengine wataishi milele jehanamu. Kifo kinachozungumziwa hapa kinaelekezea maisha ya jehanamu. Hata hivyo kitu kingine cha pili katika aya hii yatufunza ni uzima wa milele upo kupitia kwa Yesu yenye tulistahili kwa haki. “Yeye asiyejua dhambialimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu,ili sis tupate kuwa haki ya Mungu kaitka Yeye” (2Wakorintho 5:21)

“Yeye mwenyewe alizichukua dhami zetu katka mwili wake juu ya mti; ili, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa” (1Petero 2:24). Hapa tena tunaona tena kwamba Kristo alizichukua dhambi zote tulitenda yeye mwenyewe kulipa gharama kwa niapa yetu. Vifungu vichache baadaye vonasema, “Kwa maan Kristo naye aliteswa mara moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili yao waio haki, ili atulete kwa Mungu; mwili wake akauawa, bali roho yake akahuishwa” (1Petero 3:19). Si kwamba hizi aya zatufunza vile Yesu alikufa badala yetu pekee, pia zatufunza kwamba alikuwa thabihu, kumaanisha alirithisha deni ya dhambi ya mwanadamu.

Ukurasa mwingine zaidi wazungumzia takazo mpadala ni Isaya 53:5. Aya ya nena juu ya kukuja kwa Yesu ambaye angekufua msalabani kwa ajili ya dhambi zetu. Unabii umebeba mambo yote na kusulubiwa kulifanyika vile ikua imesemwa. “Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, alichubuliwa kwa maovu yetu; adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.” Kumbukuka badilisho. Hapa pia tunaona kuwa Kristo alilipa deni kwa ajili yetu.

Tunaweza kulipa deni ya dhambi zetu peke yetu kwa kuadhibiwa na kuwekwa jehenamu milele yote. Lakini sasa tuko na nafasi si ya dhambi zetu kusemehewa pekee, bali kuishi naye milele. Ili tufanye haya, ni lazima tuweke imani yetu kwa yale yote Kristo alifanya msalabani. Hatuwezi kujiokoa; twaitaji kitu badala kuchukua kwa niapa yetu. Kifo cha Yesu ndicho utakazo mpadala.

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Je! Inamaanisha nini utakazo mpadala?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries