settings icon
share icon
Swali

Je, Mungu hutarajia Wakristo wapige kura?

Jibu


Ni ushindani wetu kuwa ni zamu na wajibu wa kila Mkristo kupiga kura na kupigia kura viongozi ambao hukuza kanuni za kikristo. Mungu hakika anadhibiti, bali hilo halimaanishi tusifanye chochote kueneza mapenzi yake.Tumeamrishwa kuwaombea viongozi wetu (1 Timotheo 2;1-4). Kwa njia ya siasa na uongozi, kuna ushahidi kwa maandiko matakatifu kuwa Mungu ameudhishwa na maamuzi yetu kwa wakati mwngine (Hosea 8;4). Ushahidi wa dhambi kushika ulimwenguni upo kila mahali. Wingi wa kuteseka duniani ni kwa sababu ya uongozi wa kimiungu (Mithali 28;12). Maandiko matakatifu yapea wakristo maagizo kutii sheria halisi bora sio ile inakinzana na amri za Mungu (Matendo ya mitume 5;27-29; warumi 13;1-7). Kama waumini waliobatizwa, tuwaze kungángána kuchagua viongozi ambao wao wenyewe wataongozwa na muumba wetu (1 samweli12;13-25). Watahiniwa au mapendekezo yanayokiuka amri za Bibilia kwa maisha,familia,ndoa,au imani wasiungwe mkono kamwe (mithali14;34 ).Wakristu wanapashwa kupiga kura kama waongozwapo kwa maombi na utafiti wa jumla ya neno la Mungu na ukweli halisi wa maamuzi kwa sanduku la kura.

Wakristo katika nchi nyingi duniani wamekandamizwa na kuteswa. Wanateseka chini ya serikali ambazo hawana uwezo wa kuzibadilisha na serikali ambazo huchukia imani yao na kunyamazisha sauti zao.Waumini hawa huhubiri injili ya Yesu Kristo kwa taathari ya maisha yao. Katika Marekani, Wakristo wamebarikiwa na haki ya kuongea kuhusu na kuchagua viongozi wao bila kujihofia wao wenyewe au familia zao.wamekuwa heri na haki ya kuongea kuhusu na kuchagua viongozi wao bila kuogopa kwa wenyewe au familia zao. Katika Marekani, katika uchaguzi wa hivi karibuni,karibu 2 juu 5 ya wakristo maprofesa kivyao walichukua haki hiyo kwa mzaha na hawakupiga kura.karibu 1 kwa 5 wa maprofesa kivyao,wakristo wastahilifu hawakusajiriwa hata kupiga kura.

Katika siku zetu na umri, kuna wengi ambao wanataka kutoa jina na ujumbe wa Kristo kabisa kutoka miongoni mwa watu. Kupiga kura ni fursa ya kukuza, kulinda na kuhifadhi serikali mcha Mungu. Kulenga fursa hiyo inamaanisha kuwaruhusu wale ambao watapaka matope jina la Kristo kupata njia ya kupenya kwa maisha yetu. Viongozi tunaowachagua _ au tusiofanya chochote kuwaondoa _ wana mvuto mkubwa kwa uhuru wetu. Wanaweza chagua kulinda haki yetu ya kuabudu na kueneza injili, au wanaweza kuzuia haki hizo.Wanaweza kuongoza taifa letu kuelekea kwa uadilifu ama kuelekea kwa maafa ya maadili. Kama Wakristo, tunapaswa kusimama na kufuata amri yetu kutimiza wajibu wetu kiraia (Mathayo 22:21).

EnglishRudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Je, Mungu hutarajia Wakristo wapige kura?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries