settings icon
share icon
Swali

Ni nini maana ya mageuzi ya kukana Mungu?

Jibu


Mageuzi ya kukana Mungu (pia yanajulikana kuwa mtazamo wa Darwin kuhusu mageuzi na mageuzi ya asili) na uumbaji maalum.

Mageuzi ya ukanaji Mungu yanasema kwamba hakuna Mungu na maisha yalijibuka kawaida kutoka kwa viumbe vilivyokuwamo, viumbo visivyo na uhai vilijijenga chini ya ushawishi wa sheria za asili (kama mvuto, nk), ingawa chanzo cha hizo sheria asili haijaelezwa. Uumbaji Maalum unasema kwamba Mungu aliumba maisha moja kwa moja, aidha kutoka utupu au kutoka vifaa vilivyokuwepo.

Mageuzi ya Uungu ianasema mojawapo ya mambo mawili. Chaguo la kwanza ni kwamba kuna Mungu, lakini hakushiriki moja kwa moja katika asili ya maisha. Yeye huenda kuwa aliumba vitu hivi, Yeye anaweza kuwa aliumba sheria za asili, anaweza hata kuwa aliumba mambo haya kwa muibuko wa maisha katika akili, lakini wakati fulani mapema, Yeye alitizama viumbe vikijibuka. Yeye basi aliruhusu vifanye vile vitakavyo, chochote kile, na maisha hatimaye yaliibuka kutoka kwa viumbe visivyo na uhai. Mtazamo huu ni sawa na wa mageuzi ya kukan Mungu kwa kuwa unaunga mkono uasili wa maisha.

Njia mbadala ya pili ya mageuzi ya uungu ni kwamba Mungu hakufanya miujiza moja au mbili tu kuleta asili ya maisha kama vile tunavyojua. Miujiza yake ilikuwa ya mara kwa mara. Yeye aliishi maisha yake hatua kwa hatua chini ya njia kwamba alichukua kutoka asili nyenyekevu hadi utata wa kisasa, sawa na maoni ya Darwin ya mabadiliko choro wa mti wa uzima (samaki akazaa amfibia ambaye alizaa nyoka ambaye akazaa ndege na wanyama, nk). Mahali ambapo maisha hayakuwa na uwezo wa kubadilika kawaida (jinsi gani mguu wa mtambaazi unaweza jibuka na kuwa bawa la ndege ya kawaida?), Mungu alingilia kati. Mtazamo huu ni sawa na wa viumbe maalum kwa kuwa unafikiria kwamba Mungu alitenda kwa njia ya ajabu katika baadhi ya njia ya kuleta maisha kama vile tunavyojua.

Kuna tofauti nyingi sana kati ya uumbaji maalum wa Biblia na mtazamo na wa mageuzi ukano Mungu. Mojawapo ya tofauti kubwa inahusu maoni yao kwa kifo. Wa mtazamo wa mageuzi waminio Mungu huamini kwamba dunia umri wake ni mabilioni ya miaka na kwamba utupu wa jeolojia ulikua na safu iliyo rekodi nishati inawakilisha kipindi maalum cha muda mrefu. Tangu mtu haionekani hadi mwishoni mwa mwaka wa rekodi ya mafuta, wa mtazamo wa mageuzi ya uungu huamini kwamba viumbe wengi waliishi, walikufa, na wakawa hawako kwa muda mrefu kabla ya kuwasili kwa mtu. Hii ina maana kwamba kifo kilikuwepo kabla ya Adamu na dhambi yake.

Wa mtazamo wa uumbaji wa Biblia huamini kwamba dunia ii change sana na kwamba rekodi ya nishati ilikuwa imelala chini wakati na baada ya gharika ya Nuhu. Utabakishaji wa viwango ni wazo kuwa ilitokea kutokana na kuchagua sayansi ya maji na likufakitia, zote mbili ni matukio yanayotumika sana. Hii inaweka rekodi ya mafuta na kifo na mauaji ambayo inaelezea mamia ya miaka baada ya dhambi ya Adamu.

Tofauti nyingine kubwa kati ya misimamo hiyo miwili ni jinsi invyosoma kitabu cha Mwanzo. Mageuzi ya Uungu hujaribu kuungana na aidha nadharia ya siku-umri au nadharia mfumo, ambapo zote mbili ni hadidhi tafsiri la juma moja la uumbaji katika Mwanzo 1. Mtazamo wa nchi change hujiunga na masaa 24 halisi ya siku kama vile wanavyosoma Mwanzo 1. Zote maoni ya mageuzi ya Uungu yanatoka katika mtazamo wa kikristo kwamba haujipangi na matukio ya uumbaji ya Mwanzo.

Mageuzi ya Uungu hufikiria mazingira ya Darwin ambayo kwamba nyota zilijibuka, basi mfumo wetu wa jua, kisha ardhi, basi mimea na wanyama, na hatimaye mwanadamu. Maoni hayo mawili ya mageuzi ya kiungu hungana na jukumu ambalo Mungu alikua nalo katika ufumbuzi wa matukio, lakini kwa ujumla hukubaliana na ratiba ya Darwin. Kalenda hii inahitilafiana na ile akounti ya Mwanzo. Kwa mfano, Mwanzo 1 inasema kwamba nchi iliumbwa siku ya kwanza na jua, mwezi, na nyota hazikuwapo hadi pale siku ya nne. Baadhi wanadai kuwa maneno ya Mwanzo yanaonyesha jua, mwezi, na nyota ziliumbwa siku moja lakini hawakuweza kuonekana kwa njia ya anga ya dunia mpaka siku nne, na kupelekea Kuwekwa siku ya nne. Huu ni mvuto kidogo, kama hesabu ya Mwanzo ni wazi kwamba dunia haikuwa na anga mpaka siku ya pili. Kama jua, mwezi, na nyota ziliumbwa siku ya kwanza, zingeonekana siku ya kwanza.

Pia, hesabu ya Mwanzo inasema wazi wazi kwamba ndege waliumbwa na viumbe baharini katika siku tano huku wanyama wa ardhi hawakuumbwa mpaka siku ya sita. Huu ni upinzani wa moja kwa moja na maoni ya Darwin kwamba ndege walitokana na wanyama wa ardhi. Akaunti ya kibiblia inasema kwamba ndege waliumbwa kabla ya wanyama ya ardhi. Maoni ya mageuzi ya kiungu inasema kinyume kabisa.

Mojawapo ya mwenendo mbaya zaidi katika Ukristo wa kisasa ni ule wa kutafsiri Mwanzo kwa ajili ya kukubalia nadharia ya mabadiliko. Wengi wa waalimu wa Biblia wanaojulikana na watetezi wa Kanisa kukabilia maoni ya wageuzi na wamekuja kuamini kwamba kutizama tafsiri halisi ya Mwanzo ni kwa namna fulani madhara kwa uaminifu wa wakristo. Kwa vyovyote vile, wanamageuzi hupoteza heshima kwa wale ambao wana imani katika Biblia ni hafifu mno kwamba wao wako tayari kwa haraka huwa na maelewano nao. Ingawa idadi ya wa mtazamo wa uumbwaji kweli inaweza kuwa inapungua katika wasomi, mashirika kadhaa aminifu kama vile Majibu katika Mwanzo, Jamii ya Utafiti wa viumbe, na Taasisi ya Utafiti ya Uumbaji kuwa zimethibitisha kwamba Biblia sio tu iko sambamba na sayansi halisi pekee, bali inathibitisha kwamba hakuna neno hata moja katika Biblia limewahi thibitshwa kuwa ongo na sayansi ya kweli. Biblia ni Neno lililo hai la Mungu, tulilopewa na Muumba wa ulimwengu, na maelezo yake ya jinsi Aliumba ulimwengu hayana uhuwiano na nadharia ya mageuzi, hata ulewo wa mageuzi ya "uungu".

EnglishRudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Ni nini maana ya mageuzi ya kukana Mungu?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries