settings icon
share icon
Swali

Biblia inasema nini kuhusu kuasili?

Jibu


Kutoa watoto kwa ajili ya uasili unaweza kuwa njia mbadala ya upendo kwa wazazi ambao wanaweza, kwa sababu mbalimbali, kutokuwa na uwezo wa kukimu watoto wao wenyewe. Pia inaweza kuwa jibu kwa maombi ya wapenzi wengi ambao hawakuwa na uwezo wa kuwa na watoto wao wenyewe. Uasili ni, kwa baadhi, ni wito kuzidisha mafution yao kama wazazi na kupanua familia zao na watoto ambao siyo wao kichembembe. Uasili ni umenenwa kwa uzuri katika maandiko.

Kitabu cha Kutoka kinaelezea hadithi ya mwanamke mwibrania jina lake Yokebedi ambaye alizaa mwana wakati Farao alikuwa ameamuru watoto wote wa kiume wa Waibrania wauawe (Kutoka 1:15-22). Yokebedi alichukua kikapu, akakifunika vizuri hadi maji hayawezi kupita ndani, na kutuma mtoto chini ya mto katika kikapu. Mmoja wa mabinti wa Farao akakiona kikapu na akamtoa mtoto. Hatimaye alimchukua katika familia ya kifalme na kumpa jina Musa. Aliendelea kuwa mtumishi mwaminifu na wa heri ya Mungu (Kutoka 2:1-10).

Katika kitabu cha Esta, binti mzuri aitwaye Esta, ambaye alikuwa ameasilizwa na binamu yake baada ya kifo cha wazazi wake, akawa Malkia, na Mungu alimtumia kuleta ukombozi kwa Wayahudi. Katika Agano Jipya, Yesu Kristo alichukuliwa mimba kwa njia ya Roho Mtakatifu badala ya kupitia kwa mbegu ya mwanadamu (Mathayo 1:18). Alikuwa "ameasiliwa" na kulelewa na babaye; Yusufu, ambaye alimchukua Yesu kama mtoto wake mwenyewe.

Pindi tunapoitoa mioyo yetu kwa Kristo, tukiamini na kuamini katika yeye peke yake kwa ajili ya wokovu, Mungu anasema sisi kuwa sehemu ya familia yake si kwa njia ya utaratibu wa kawaida wa mimba ya binadamu, lakini kwa njia ya kupitishwa. "Kwa kaani Baba" (Warumi 8:15). Vile vile, kuleta mtu katika familia kwa njia ya kuasiliwa ni unafanyika kwa uchaguzi na kwa njia ya upendo. "Ksu Kristo, sawaswa na uradhi wa mapenzi yake" (Waefeso 1:5). Kama vile Mungu huasili wale ambao humpokea Kristo kama Mwokozi kwa familia yake ya kiroho, hivyo lazima sisi wote tunuie kuasili watoto katika familia zetu nyumbani.

Uasili wa wazi -wote katika hali ya kimwili na ya kiroho imeonyesha katika mwanga wa wazi katika maandiko. Wote wale ambao uasili na wale ambao ni uasiliwa ni wanapokea baraka tele, mfano wa upendeleo, wa uasiliwa wetu katika familia ya Mungu.

EnglishRudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

Biblia inasema nini kuhusu kuasili?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries