settings icon
share icon
Swali

mMtazamo wa preteristi kuhusu nyakati za mwisho ni upi?

Jibu


Ufasiri wa kipreteristi kwa maandiko hasa kuhusu kitabu cha Ufunuo kuwa ishara ya picha la kanisa la kwanza, sio elezo la kile kitakacho tokea wakati wa mwisho. Imani ya kipreteristi yakataa uwezekano wa unabii wa baadaye wa kitabu cha Ufunuo. Kwa utafauti wa kadri upreteristi waunganisha utafsiri wa kiistiari na ishara pamoja na dhana kwamba kitabu cha Ufunuo hakishughulikii tukio halisi la baadaye. Wanapreteristi kimsingi wanafunza kuwa unabii wa nyakati za mwisho wote wa Agano Jipya ulitimizwa mwaka A.D 70 (Kabla Yesu hajazaliwa) wakati Warumi walifamia na kuiharibu Yerusalem ana Israel.

Barua kwa makanisa katika Ufunuo 2 na 3 ziliandikwa kwa makanisa halisi katika karne ya kwanza, na ziko na utendaji kwa makanisa ya leo. Lakini mlango wa 6-22 ukifaisiriwa njia hiyo hiyo vile nabii zingine za Bibilia, ziliandikwa juu ya matukio ambayo hayajatokea lakini yatatokea baadaye. Hakuna sababu ya kufasiri unabii wa Ufunuo kama istiari. Unabii wa mbeleni uliotimizwa, ulitimizwa kimaandishi. Kwa mfano unabii wa Agano La Kale aya ambazo sazungumzia kukuja kwa Yesu Kristo zilitimizwa kimaandishi katika Kristo. Kristo alikuja wakati ambao alikuwa ametabiriwa kukuja (Danieli 9:25-26). Kristo alizaliwa na bikra (Isaya 7:14). Aliteseka na kufa kwa ajili ya dhambi zetu (Isaya 53:5-9). Hizi ni baadhi ya mifano ya mamia ya unabii wa Agano La Kale ambao Mungu aliupeana kwa manabi ambo umeandikwa katika maandiko ambao ulitimizwa kimaandishi. Haileti maana kujaribu kustiari unabii ambo haujatimizwa au kuelewa unabii ambao haujatimizwa kwa njia yo yote ile mbali na ile ya kawaida ya kusoma.

Zaidi, upreteristi hauwiani katika fasiri yao ya kitabu cha Ufunuo. Kulingana na mtazamo wa wapreteristi, mlango wa 6-18 wa Ufunuo ni wa ishara na kiistiari, si kuelezea kimaandishi matukio. Ingawa mlango wa 19, kulingana wapreteristi unastahili kueleweka kimaandishi. Yesu Kristo kiaundishi atarudi tena. Hivyo mlango wa 20 pai umefasiriwa kiistiari na wanapreteristi, huku mlango wa 21-22 zimeeleweka kimaandisi, afadhali sehemu, kwamba kutakuwa na mbingu mpya na nchi mpya. Hakuna anayeweza kukana kuwa Ufunuo haina mambo ya kutisha na maono ya kuchanganyisha. Hakuna anayeweza kukana kuwa Ufunuo inaeleza mambo mengine kimafumbo. Hata hivyo, kiurahisi kukana hali ya kiuandishi cha sehemu ambazo zimechaguliwa cha Ufunuo ni kuharibu msingi wa kufasiri kitabu cho chote kile kiuandishi. Ikiwa, mhuri, tarumbeta, bakuli, washihidi, 144000, mnyama, nabii wa uongo, ufalme wa miaka elfu moja, na kadhalika. Yote ni ya kiistiari na kiishara, ni kwa misingi gani tunadai kuwa kurudi kwa Kristo mara ya pili na nchi mpya ni ya kiuandishi? Hapo ndipo kuko na kasoro ya wapreteristi- inaacha fasiri ya Ufunuo kwa maoni ya mfasiri. Badala, tunastahili kuisoma, kuiamini na kuitii- kiuandishi na kikamilifu.

English



Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili

mMtazamo wa preteristi kuhusu nyakati za mwisho ni upi?
Shiriki ukurasa huu: Facebook icon Twitter icon Pinterest icon Email icon
© Copyright Got Questions Ministries